Mi nashindwa elewa kabisa. Wazee wa dar es salaam ni watu gani? nadhani linaweza jitokeza kundi jingine na kudai kuwa wao pia ni wazee wa dar es salaam ikawa mtifuano. Nadhani lingetafutwa jina jingine kwa kundi hili ambalo haliondoi uhalisia wa wao kuendelea kuwa wazee wa dar es salaam (kiumri)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.