Dr. Kitila wa UDSM akiwa na makamanda asema "acheni uoga watanzania"

S.N.Jilala

JF-Expert Member
Jan 26, 2012
540
507
DR.Kitila akiwa ameambatana na DR. SLAA,LEMA na wapambanaji wengine wa Taifa hili amenena hivi:Akihutubia maelfu ya wakazi wa Mwanza kwenye uwanja wa SAHARA Dr.Kitila wa UDSM amesema kama mwanasaikolojia anaona kuwa watanzania wengi kwa sasa wako kimwili tu CCM,kimawazo na fikra wamekataa kabisa kuifuata CCM, hivyo basi amewaomba waje sasa na kimwili CHADEMA, kwani CCM si chama cha kuiongoza nchi kwa sasa.Hakina dira na kimejaa wababaishaji tu.
 
Uoga ndiyo sumu inamaliza watanzania wengi! Asante Kitila kwa nasaha zako!
 
huyu mwalimu wangu namkubali sana..ni kamanda kiboko ya magamba,aliwahi kusema walimu wa UDSM NI WAOGA ILA WANAIPENDA CHADEMA.
 
Kwa mtaji huo mwigulu nchemba aanze kukusanya virago vyake kuondoka kabla ya kuaibika.
 
Iramba Magharibi ndio Jimbo linaloshikiliwa na Bwana Mwigulu Nchemba?

chezea pipo pawa wewe....ajiandae,wamezoea matusi na kashfa,sasa sijui watampatia wapi profesa kwani hana doa,ni kama naona mwigulu siku zake zimegota ukutani vile
 
Dr.Kitila Umesema kweli woga umetuzidi sana, ila siku itafika hofu itaondoka. Huyo Mwigulu hana chake, nawahakikishieni hana chake tena. Mimi ni mzaliwa wa kijiji cha Makunda kata ya Kyengege anakozaliwa Mwigulu, wanachi wamesubiri kumpa zawadi yake hapo 2015, hawana hamu naye tena. Ni mtoto mdogo lakini kwa kuwa kakua vibaya hatuna namna nyingine zaidi ya kumnyonga tunakuhitaji kamanda Dr. Kitila ukitaka kujua fika Kyengege, Mugundu, Malugha, Kyalosangi, Misigiri, ukisogea KIomboi ndiyo basi Dr. Jina lako linasemwa hadi maeneo ya Ndurumo na luono nakupa habari za kweli Mwigulu keshapigwa. Nilikuwa Kwa bibi yangu maeneo ya kisana nilishangaa kukuta pamoja na uzee wake yuko well informed CCM si chaguo lake tena.
 
Back
Top Bottom