EL MAGNIFICAL
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 938
- 125
kwanza nitumie fursa hii kuupongeza uongozi na team nzima ya cdm bila kumsahau kijana machachari bwana nasari kwa kupewa dhamana ya kuliongoza jimbo la arumeru mashariki.
Pia nitumie nafasi hii hii kuwaeleza ndg zetu hawa wa ccm sababu zilizofanya wadondokee pua ktk uchaguzi huu, mbali na watu kuchoshwa na uongozi kandamizi wa ccm pia sababu zifuatazo pia zimechangia kuwadondosha:-
1.ktk ccm ni kitu cha kawaida sana unapokutana na mb. Kijana lazima kunakuwa na mawili kama sio tajili basi lazima jina lake la ukoo ni lazima liwe ni la kigogo flani ktk nyazifa flani ndani ya ccm.
Mfano mzuri ni ndg sumari hata kama mlikuwa na lengo la kumfuta machozi mngefanya hivyo hata 2015, lakini mlimsimamisha mapema sana, mda wa kujiandaa aliupata wapi ! kwa matatizo yaliyokuwa yanamsibu mzee wake.
Pia sitashtuka sana hata w.j. Malecela kusikia amepitishwa kuwa mb. Wa east africa hi ni moja kati ya dhambi zitazowatafuna kuwabagua watoto wa maskn ktk madaraka.
2. Kumbeba mtu ambaye habebeki, sio chuki binafsi bali ni wazi kwa mtu yoyote anayefuatilia siasa atajua jinsi bwana sioi alivyokosa mvuto wa siasa hana uwezo mzuri wa kujenga hoja, hana ushawishi kwa umma ukimfananisha na mpinzani wake.
3.muendelezo wa siasa chafu mfano mzee wasira kumrushia tuhuma dr. Slaa zisizo na ushahdi.
Mzee Ben kulumbana vincent nyerere
pia na matusi yaliyomwaga na mh lusinde pia vimechangia.
4. Ukosefu wa majibu ya matatizo ya wana arumeru kama tatizo la ardhi, maji nk ni wazi ccm hapa mlifail kuleta suluhu ya matatizo haya kwa wananchi kwani hata wabunge waliotangulia walitumia ilani zenu kujinadi na sioi naye anatumia hiyo hiyo na matatizo bado ni yale yale.
5. Uwepo wa vurugu na mazingira rafiki ya rusha mfano mh mwigulu kupewa nafasi ya kuongea machache kanisani wkt ni siku ya kupga kura, wenye uelewa hili pia liliwakera.
Haya ndio yaliyowazalishia kufail.
Ndg wanabodi unaweza kuongeza sababu zingne pia.....!
Nawasilisha.