Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

baada ya kamati ya uchunguzi wizara ya maliasili kuwasilisha ripoti yake mbele ya bunge imeibua madudu mengi yaliyofanywa na wizara hiyo na kutoa pendekezo la waziri mhusika kuwajibishwa Moja ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa Zitto kabwe hadi sasa saini 30 zimepatikana kutoka CDM,CUF na NCCR. Wabunge wa CCM waliodhamiria wameitwa na Mnadhimu wa serikali bwana Lukuvi Source: Zitto on twitter Zitto Zuberi...
21 Reactions
438 Replies
39K Views
Source tz daima Wabunge wawili kati ya wanne walio tia saini ya kutokuwa na imani na waziri mkuu wametishiwa maisha na mafisadi ikiwa ni nje ya vitisho vya kuvuana magamba ndani ya NEC.
0 Reactions
53 Replies
6K Views
Wenyekiti wa mali asili - lembeli anasoma riport ya usafirishaji wa wanyama pori kwenda nje kwa mizengwe anatoa mapendekezo yake.kama wizara nyingine ni madudu tu.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wabunge wa JMT wametoa maonu yao iwapo leo Spika wa Bunge hataipangia na kuipokea hoja ya Zitto ya kumwajibisha PM kwa dhana nzima ya uwajibikaji na kulindana. Wameomba kuwepo na bunge la...
0 Reactions
53 Replies
6K Views
Akihutubia Dr. Slaa na kuwashangaa wabunge wa CCM kwa unafiki wao hasa wanapopiga kelele lakini amesema waliotia saini kwa ZITTO ni 7 tu. watu wamejiunga Chadema na kutupa kofia na nguo za CCM...
2 Reactions
89 Replies
8K Views
Folks, Imagine wewe ni mwana familia. Familia inalia njaa. umekaa unafikra nzuri kabisa juu ya jinsi gani mkate unaweza kupatikana, lakini pamoja na fikra hiyo nzuri umekaa tu huchukui hatua...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Naomba mnijuze sielewi au upeo kuna Serikali,Mahakama na Bunge Utendaji wake hauingiliani na hakuna aliye juu ya mwenzake, tuliona tatizo la posho Wabunge walimtuma akakwama wapi? Jairo na...
0 Reactions
0 Replies
961 Views
Ni kutoka katika vikao vya ndani ila wanaona kuwa wameonewa wanataka waondolewe kwa njia ya mabadiriko ya baraza la mawaziri kuondoa aibu
1 Reactions
61 Replies
7K Views
Mh Lembeli (Mwenyekiti wa kamati ya Ardhi Maliasili na Mazingira ndio amemaliza kutoa taarifa yake inayowasulubu Waziri wa Maliasili na Utalii, Makatibu wakuu nk hasa kuhusiana na lile sakata la...
0 Reactions
0 Replies
724 Views
Heshima mbele wakuu, Wenye taarifa na kinachojiri bungeni watujuze tafadhali huku umeme wameuchukua. natanguliza shukrani wanajanvi
0 Reactions
25 Replies
5K Views
#sahihi70 tumepata sahihi 62 mpaka sasa. Makao makuu CUF imetoa agizo kwamba wabunge wao waweke sahihi. Tutafanikiwa #Sahihi70 ndugu Deo Filikunjombe amesaini. Huu ndio unaitwa ushujaa. Kuwa...
34 Reactions
928 Replies
81K Views
Huyu jamaa ameonesha ujasiri sana na ukomavu wa KISI-HASA, mimi nisingePenda apewe wadhifa wowote maana nitamkosa sana katika kuikosoa serikali ya chama chake, nakumbuka jinsi Mwanri, Pinda...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Bonyeza vidioAUDIO | DW.DE Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imesema haitakivumilia kikundi chochote kitakachoendesha makongamano na mihadhara itakayonekana kuhatarisha amani, utulivu na umoja wa...
0 Reactions
0 Replies
667 Views
Tunaomba mwenye updates atujuze:A S angry::A S angry:
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Haijarishi uko CCM, CDM,TLP,CUF nk kwa ufisadi ulio wazi nanyi mko huko ambako kibinadamu ndio mmepewa jukumu la kulinda na kitetea uhuru, haki na sheria kwa viumbe wote ktk hao nyie kiimani...
0 Reactions
0 Replies
810 Views
juzi kwenye kikao cha kujadili hoja za kamati teule za bunge nilimuona naibu waziri wa Tamisemi bw. Aggrey Mwanri akiomba serikali kupewa nafasi ya kumwajibisha mkurugenzi wa halmashauri...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hivi kuna namna wabunge wanaweza kumtoa spika kwenye nafasi yake kama hawaridhishwi na utendaji wake? Msaada wana jf
0 Reactions
1 Replies
971 Views
BUNGENI Kipindi cha maswali na Majibu kwa Waziri Mkuu kitafuatiliwa na muendelezo wa mjadala wa matumizi ya fedha za Serekali, kindly like our radio on TUNEIN Page Fuatilia. Wanabodi, Kama...
1 Reactions
39 Replies
3K Views
Back
Top Bottom