Rais atokanaye na uraia wa nchi mbili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais atokanaye na uraia wa nchi mbili

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by Bubu Msemaovyo, Feb 20, 2012.

 1. Bubu Msemaovyo

  Bubu Msemaovyo JF-Expert Member

  #1
  Feb 20, 2012
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 3,436
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Katika katiba mpya wagombea urais, wabunge ambao kabla ya kuchukua fomu kwa nia hiyo kama watakuwa na uraia wa nchi mbili wasiruhusiwe kugombea urais wala ubunge. Hii itatokana na ukweli wa haya yanayotokea leo.
  1. Wizi wa raslimali za nchi umekithiri sana na wezi wakubwa ni hawa hawa viongozi wetu.
  2. Uzoefu umeonyesha kwamba hawa viongozi wetu mara tu wakiapishwa akili zao ni kusafiri nafahamu safari ni muhimu kwa viongozi lakini nchi bila rais miaka 3!
   
 2. B

  Bagram Army Member

  #2
  Apr 17, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hilo nalo neno dada, vipi kura za maoni na rushwa?
   
 3. Elisha Ray

  Elisha Ray JF-Expert Member

  #3
  Apr 17, 2012
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 302
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  unachagua rais kumbe ana uraia mwingine kazi kusafiri tuuu....
   
 4. john leonard

  john leonard Member

  #4
  Apr 23, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamani mtu mwenye uraia wa nchi mbili huyo atakuwa mwizi mfamizi,bali anatakiwa kuwa na uraia wa nchi moja tu,vipi kwa mwenye sifa za uraia pande mbili?ni yeye mwenyewe achague uraia upi apewe kabla ya miaka 18!baada ya hapo ni raia wa atakapokuwepo kwa kuwa sifa anazo!ethnicity and race ni kitu cha kimataifa na hutokana na migration ambazo ni sharti hutokea katika muingiliano na jamii,muone OBAMA NA MAREKANI YOTE KWA UJUMLA.angalia na migration ya AFRICA.tuangalie kwa upana na kutunga katiba ya kudumu tusije anza baguana hata kwa rangi jamani!
   
Loading...