Dk. Mwakyembe aondoa matumaini tena ujenzi barabara ya Kyela | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dk. Mwakyembe aondoa matumaini tena ujenzi barabara ya Kyela

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwakiluma, Apr 23, 2012.

 1. Mwakiluma

  Mwakiluma Senior Member

  #1
  Apr 23, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 120
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Katika kipindi cha maswali na majibu leo bungeni mbunge wa mbozi magharibi aliuliza swali kwenda kwa wizara ya ujenzi akitaka kujua ni lini barabara ya inayounganisha wilaya za Rungwe na Kyela itajengwa kwa kiwango cha lami...katika majibu yake Mwakyembe awali alimtaka Mwakyusa afuatilie kwa wilaya husika kwa sababu barabara hiyo ipo chini ya wilaya na si mkoa...lakini mwakyusa alipombana kuwa hata yeye mwenyewe ni mbunge wa kyela hivyo anahusika moja kwa moja na maendeleo ya barabara hiyo Mwakyembe alimtaka mwakyusa atengeneze hoja zitakazoishawishi wizara yake iichukulie maanani barabara hiyo ambayo inatoka kyela-ipinda ikulu na kuelekea wilaya ya Rungwe....  My take: kwa majibu haya ya waziri je kuna matumaini yoyote kuhusu ujenzi wa barabara hiyo?

  nini mwakyembe anawaza cha maendeleo kwa wilaya ya kyela..
   
Loading...