Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Sasa tumepata yote kwa ujumla wake yalioyo moyoni kwa JK kuhusu hatma ya Tanzania. Wakati umefika tupate Jemadari wa kuikomboa nchi hii kutoka kwa mafisadi! Mafisadi wanaokingiwa kifua na...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hili la kuwaambia mawaziri 'huu ni upepo unaopita' ivyo wasing'atuke na baadaye kurugenzi kusema rais kikwete hajasema inanipa shida kuamini kanusho lenyewe kwani si mara ya kwanza.KUMBUKA JAIRO...
1 Reactions
0 Replies
879 Views
Nakumbuka, mara baada ya kuapishwa baraza la mawaziri katika viwanja vya ikulu, Rais Kikwete aliwaasa mawaziri wake akisema "...mkizembea, ipo siku tutakabidhi nchi kwa wapinzani". Ni dhahiri...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Majibu nimeya pata kuwa kwa nini watu katika kipindi hichi cha Jakaya watu hela imepotea mifukoni lakini sasa majibu yako dhahili, pesa ziko mfukoni kwa mawaziri wetu na watendaji wengine mafisadi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ninachoshindwa kuelewa ni maelezo ya shekhe mataka kwani zaidiya silimia 50% ya maelezo yake ni kuingiza suala la mahakama ya kadhi ndani ya katiba. Kwa kuonyesha kuwa hawakujiandaa na majibu ya...
0 Reactions
0 Replies
991 Views
Kwa kweli naona kama Mh. Pinda umewekwa kwenye wakati mgumu katika position yako ya PM. Kwani kama ni kweli rais anasema 'ni upepo tu utapita' kweli ana uchungu na nchi hii? Kama waliompigia kura...
1 Reactions
33 Replies
3K Views
Mh. Dr.Mary Nagu leo akiongea na wananchi wa jimbo lake huko Hanang amesema ana amini 100% chini ya Kikwete Katiba mpya itakuwa nzuri kama ya mwaka 1977. source ITV habari SIJUI HUYU MAMA...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
NI dhana rahisi sanai!kansa ya mguu tiba yake ni kukata mguu, kansa ya titi ni tiba yake ni kukata titi, vivyo hivyo kwa kansa zingine!shughuli inakuja ikiwa mtu ana kansa ya kichwa!Tiba yake ni...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa vile CUF na TLP wamesaini kumwondoa waziri mkuu, nashauri viongozi wa vyama vyote vilivyosaini wafanye mikutano kwenye jukwaa moja wazunguke nchi nzima kuwaeleza wananchi sababu za hoja ya...
0 Reactions
0 Replies
827 Views
Kamanda Godbless Lema akiwa kwenye mikutano na uzinduzi wa matawi, Ndipo mwenyekiti wa Vijana CCM kata ya Kisesa Ndg Robert Mwanngwa akafanya maamzi sahihi ya kuhamia chadema.
11 Reactions
62 Replies
8K Views
Orodha ya wabunge waliosaini: 2. Rashid Ali Abdallah – CUF 3. Chiku Aflah Abwao- Chadema 4. Saluim Ali Mbarouk – CUF 5. Salum Khalfam Barwany – CUF 6. Deo Haule Filikuchombe- CCM 7. Pauline...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
GreatThinkers, Hivi umewahi kuona wapi,Swala apewe madaraka mwituni aongoze Fisi na Mbwa mwitu? Kwa jinsi alivyo mpole lazima atadharaulika, hawezi kuwachapa na mwisho atalia mwenyewe. Hakika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Je inawezeka kiongozi mkuu kama waziri mkuu kupewa nafasi hiyo iwapo hana mke? Namna gani Spika wa bunge, sijawahi kusikia mume wa Spika wa bunge.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
GreatThinkers, Hivi umewahi kuona wapi,Swala apewe madaraka mwituni aongoze Fisi na Mbwa mwitu? Kwa jinsi alivyo mpole lazima atadharaulika, hawezi kuwachapa na mwisho atalia mwenyewe. Hakika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu zangu, Nimepata kusimulia haya. Kuwa Mwalimu Nyerere alipong'atuka alipata kumwelezea rafiki yake Rashid Kawawa. Alitamka; " Huyu Rashid huyu sidhani kama kuna mtu mwingine...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Ninachokiamini kulingana na utetezi wa Waziri Omary Nundu serikali ya ccm wote ni wezi na kilichopo ni kuzungukana na kula kwa nyuma. Hii ndo inapelekea kwa mtizamo wa JK na Pinda walio kuwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Majibu nimeya pata kuwa kwa nini watu katika kipindi hichi cha Jakaya watu hela imepotea mifukoni lakini sasa majibu yako dhahili, pesa ziko mfukoni kwa mawaziri wetu na watendaji wengine mafisadi...
0 Reactions
0 Replies
859 Views
Kwa nini JK huwa anaongea na wazee wa CCM kwa masuala ya Taifa badala ya kuongea na wananchi wote? Na hao wazee wa CCM huwa anaongea nao au huwa anaongea kama yupo kwenye TV?
0 Reactions
1 Replies
759 Views
Nilisikitishwa sana na muongozo aliouomba January Magamba! najua ni mpango aliousuka yeye na mafisadi wenzake ili kuhujumu jitihada za wazalendo wanao pigania usawa katika taifa hili. najua yeye...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Asalam aleikum....ndugu zangu mtakubaliana na mimi kwamba Lowasa alikuwa mchapakazi. Tatizo lake ni kashfa alizozipata huyu bwana...Ni muda mrefu amekuwa kimya katika siasa. Ila pamoja na kuwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom