Sema na wewe: Hii ndiyo sababu ya mimi kuwa CHADEMA. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sema na wewe: Hii ndiyo sababu ya mimi kuwa CHADEMA.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kuku dume, Apr 22, 2012.

 1. kuku dume

  kuku dume JF-Expert Member

  #1
  Apr 22, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 415
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nipo Chadema kuwadhihirishia Watanzania kwamba nawapenda.

  Pia najali rasilimali za Watanzania na kushiriki kuzilinda kwa matumizi endelevu kwa ajili ya vizazi vijavyo.
   
 2. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #2
  Apr 22, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Hii hatua tumeshaivuka zamani.

  Mjadala upo kwenye current political situation, nani atajiuzulu nani atafukuzwa
   
 3. K

  Kagalala JF-Expert Member

  #3
  Apr 22, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 2,372
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Kwa sababu sijawahi kuipenda CCM
   
 4. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #4
  Apr 22, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  nipo chadema mahara sahihi,kwa wakati sahihi,penye lengo sahihi,kwa sisi tunao hitaji usahihi.njo tujumuike pamoja kabla ya unyakuo,maana saa na wakati ndio sasa-M4C kiboko zaid ya op sangara
   
 5. kuku dume

  kuku dume JF-Expert Member

  #5
  Apr 23, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 415
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Magamba wanapoteana.
   
Loading...