Rais Yupo Dodoma Au Malawi..??

Rais Yupo Dodoma Au Malawi..??

KML

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
861
Reaction score
134
Jamani mwenye uhakika na hili atuweke sawa..asubuhi kwenye radio nimesikia rais katua dodoma patawaka moto, wengine wanadai bado hajatua nchini, lipi sahihi jamani.
 
Yupo Malawi anahudhuria mazishi mkuu
 
Jamani mwenye uhakika na hili atuweke sawa..asubuhi kwenye radio nimesikia rais katua dodoma patawaka moto, wengine wanadai bado hajatua nchini, lipi sahihi jamani.

rais ndo nani?
 
Yupo Malawi kuhani msiba
 
Jamani mwenye uhakika na hili atuweke sawa..asubuhi kwenye radio nimesikia rais katua dodoma patawaka moto, wengine wanadai bado hajatua nchini, lipi sahihi jamani.

Achana na taarifa za udaku yuko Malawi.

upotoshaji wa taarifa una dhamira maalum kuwa macho na magazeti ya udaku.

fikiri kwa kina chambua pumba na mchele kisha weka jibu lako usisubiri vyombo vya habari vikakupa majibu kwa kila taarifa
 
Back
Top Bottom