Barabara zetu

Luushu

JF-Expert Member
Apr 8, 2012
812
468
Hivi sasa nipo bonde la mkwajuni magari hayaendi foleni kubwa kupita kiasi.Mafisadi wanatafuna pesa zetu wakati tungeweza kujenga barabara ya juu kwa juu kutokea studio ikapita jangwani,machinga complex mpaka pugu rod ingepunguza msongamano lakini dhahabu,almasi,rubi na madini mengine mengi pamoja na wanyama havitusaidi.Tufanyeje waungwana naomba kuwasilisha
 
Back
Top Bottom