Mkutano wa hadhara-mwanza

Mkutano wa hadhara-mwanza

MSANGU

New Member
Joined
Apr 23, 2012
Posts
4
Reaction score
1
CHADEMA yafanya mkutano mkubwa jijini Mwanza tar 22/04/12 uliohudhuriwa na mamia ya watu! Mh. Dr.Wilbroad Slaa akiambatana na Mh.Lema walihutubia wananchi kwa umahili na umakini mkubwa pia kwa kupokea wanachama wapya walio achia Udiwani katika kata mbalimbali ikiwemo ya Sengerema
 
Back
Top Bottom