Malaki ya wazanzibar kuomba dua kubwa ktk harakat za kuikomboa znz usiku wa tar 25

Calipso

JF-Expert Member
Mar 25, 2009
284
15
WAZANZIBAR wanawatangazia wazanzibari wenzao wote duniani kua siku ya jumatano tar 25 April Kuamkia siku ya alkhamis itafanyika dua kubwa msikiti mkubwa wa kidongo chekundu usiku mzima katika kuikomboa nchi yetu, na asubuhi ya tar 26 wazanzibari wote tutafunga safari ya kwenda viwanja vya lumumba, shime mzanzibari kufika na kila mtu aijulishe familia yake na rafiki yake kufika kwa wingi likifuatiwa zoezi la utiaji sahihi laki 4 za wazanzibari kuukataa muungano.

NAKUMBUSHIA TU SIKU HIYO ITAKUWA NI SIKU YA KUAMKIA SIKU YA KUZALIWA KWA MUUNGANO HUU HARAMU..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom