Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

WanaJF, Namwomba Mheshimiwa Zitto, atufanyie scan fomu yenye majina na sahihi halisi za wabunge waliounga mkono hoja ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu, na isambazwe majimboni ili tujue vizuri...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Katika siku za hivi karibuni baadhi ya viongozi wa kitaifa wa CHADEMA wamenukuliwa wakitangaza sera ya majimbo ambayo miaka ya nyuma iliwahi kufanya CHADEMA isiwe na mvuto na taswira njema mbele...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna rafiki yangu mtu wa nchi jirani niliyekuwa nazungumza nae juu ya mambo fulani fulani yanayohusu utawala wetu. Mtu huyu hajui kiswahili na kwa kweli alisema anaona watanzania wakiwa na...
0 Reactions
0 Replies
932 Views
Kwa mara nyingine tena baadhi ya madiwani ktk (H) ya wilaya ya ngoro*2 wamezidi kumiminika nyumbani kwa mhe. Long'oyu diwani kata ya Losoito/Maaloni kumshawishi asiachie ngazi baada ya mhe.huyo...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Matukio mengi serikalini yanadhihirisha waziwazi udhaifu mkubwa wa uongozi wa JK. Nitajaribu kuelezea kidogo: Kwanza uongozi wa nchi ni kama kitambaa cheupe ukutani. Wananchi wanakiangalia wakati...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kumekuwa na Tetesi kuwa Tume ya Uchaguzi itaajiri wakurugenzi wa uchaguzi katika kila Halmashauri ili kumwondoa Mkurugenzi wa Halmashauri katika michakato ya uchaguzi. Nataka kujua kama kuna...
0 Reactions
0 Replies
989 Views
Jinamizi la viongozi na Chama cha Mapinduzi (CCM) la kukihama chama hicho limeendelea kushika kasi, baada ya Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Mkoa wa Arusha, Justine Genda, naye kutangaza kukihamia...
20 Reactions
80 Replies
10K Views
- Ni wakati muafaka sasa Rais akavunja Cabinet, kulinda heshima ya Serikali yake na hasa ya chama. Ingawa ninasikia tetesi, lakini ninataka kuamini kwamba ni kweli kama ninavyosikia kwamba...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Fri Apr 20, 2012 10:17am GMT Print | * Suspects found with machine guns, ladder to board vessels * Spanish vessel arrests 7 other pirates on mother ship DAR ES SALAAM, April 20 (Reuters) -...
0 Reactions
5 Replies
994 Views
He promised us that he would announce on Monday the measure taken by Government and by ministers, we were so anxious to hear what has happened, what measures had been taken and to know what does...
0 Reactions
2 Replies
855 Views
Ni mjadala wa maliasiri na utalii CDM ni noma. Adai anatamani watakao goma kuachia ngazi awapige na viti. Awambia huu sio upepo anaopita bali ni TUFANI awaonya mawaziri na Rais wakigoma rais...
5 Reactions
94 Replies
10K Views
Viongozi watanzania wameanza kua natabia yakusema uongo bila woga na tena wanautetea bila wasiwasi . na hii tabia inaanza kuota mizizi kuanzia viongozi wadogo mpaka kiongozi mkubwa. najiuliza...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Katika tasnia ya 'mawasiliano ya kikampuni (corporate communication) kuna dhana moja muhimu sana ambayo inahamasisha makampuni kuitumia mwanya uliojitokeza kwa wakati fulani ili kuipa mafanikio...
0 Reactions
2 Replies
957 Views
Jamani juzi nilikwenda mwananyamala sokoni ili nijipatie mahitaji kidogo kwa ajili ya nyumbani. Amini usiamini nilishindwa kununua kwani mchele kilo moja ni 2,400/= mpaka 3,000/= kwa kweli...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Zimepatikana Sahihi 75, hii inamaana ni wabunge 75 kutoka vyama vyote vyenye uwakilishi kasoro UPD vimeshiriki katika zoezi la kihistoria, Je hawa wabunge 75 aka G75 tuwaenzi vipi, wanatuhitaji...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeishambulia Ofisi ya Rais Ikulu juu ya kauli yake kwamba Rais Jakaya Kikwete alikuwa hajakutana na Waziri Mkuu Mizengo Pinda kumjulisha kile...
1 Reactions
38 Replies
4K Views
Moja ya viongozi Tanzani ni huyu bwana Freeman Mbowe, namhusudu kwa 100%, nayasema haya kutokana na uongozi wake tangu awe Mwenyekiti wa Chadema taifa na kukipa chama hicho hadhi kubwa ndani na...
9 Reactions
49 Replies
5K Views
AUDIO | DW.DE Click redio juu Nchini Tanzania, Waziri mkuu Mizengo Pinda leo anatarajiwa kutoa taarifa bungeni leo kufuatia sakata la bunge kuwataka mawaziri kadhaa wajiuzulu...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Nilikuwa katika kujisomeasomea na kutafiti kitu fulani lakini nimekutana na hiki kipengele sijakielewa hasa. Ibara ya 24 ya sheria hiyo ya 2002 inazungumza kuondolewa kwa watumishi wa umma na...
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Hongera Tanzania Daima kwa kutupatia ukweli. Sasa ikulu ilibisha nini? Ni upepo umepita.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom