Nafaka zimepanda mara dufu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nafaka zimepanda mara dufu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by amanindoyella, Apr 24, 2012.

 1. amanindoyella

  amanindoyella Senior Member

  #1
  Apr 24, 2012
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Jamani juzi nilikwenda mwananyamala sokoni ili nijipatie mahitaji kidogo kwa ajili ya nyumbani. Amini usiamini nilishindwa kununua kwani mchele kilo moja ni 2,400/= mpaka 3,000/= kwa kweli ilinichukua dakika 15 kufikiria ninunue au la mwisho niliondoka mikono mitupu!
  Hapa kinachonishangaza ni kwanini nafaka ipande kwa kiasi kikubwa wakati ni kipindi cha mavuno? Nini kinaendelea nchini kwetu?
  Unga nao bei juu! Sasa sisi wanyonge tukimbilie wapi? Nimesikia soko la kisutu mchele mzuri kilo ni 3,500/=
  Kinachonikera zaidi ni kuwa Tanzania tunalima chakula cha kila aina hadi tunatoa misaada nchi za nje.
  Kwanini chakula kinapanda bei?
   
Loading...