Nilini viongozi waserikali wataacha kusema uongo?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nilini viongozi waserikali wataacha kusema uongo??

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mikonomiwili, Apr 24, 2012.

 1. mikonomiwili

  mikonomiwili JF-Expert Member

  #1
  Apr 24, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 274
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Viongozi watanzania wameanza kua natabia yakusema uongo bila woga na tena wanautetea bila wasiwasi . na hii tabia inaanza kuota mizizi kuanzia viongozi wadogo mpaka kiongozi mkubwa.

  najiuliza hivi nini kimebadili Tanzania mpaka tuaanza kuwa nasilika ya uongo hivi? ni kwanini mtu amuue tu kusema uongo na akijua anachosema ni uongo je ni kwafaiada ya nani ? ama ni ili nini ?

  kulikua na taarifa bada ya kikao cha ccm kungetolewa taarifa ya maamuzi lakini chaajabu baada yakumalizika kikao waziri mkuu akaingia mitini .

  Isitoshe ile siku ya jumapili tukamsikia waziri mkuu akisema kua j3 atatoa maelezo ya kinacho endelea ,sikuikaisha hakuna chamaelezo sasa aliwadanganya wananchi ili nini ?

  na mawaziri nao wanafwata nyayo hizo hizo . Ona waziri Nundu kasema eti naibu wake ndo anamzunguka jamani hivi kati ya waziri na naibu wake ni nani bosi wa wingine ? na nikwanini asinge toa hayo maelezo wakati audit inafanyika lakini unamsikia kwenye vyombo vya habari a kitoa maelezo kama hayo.


  utasikia hata mkuu wanchi ana sema nchi ni masikini na serikali haina hela zakutosha. hivi hizo wanazo kula ma waziri zinatoka wapi ? umeme unatusumbua kwamuda sasa tumeshindwa hata kuchukua hatua yamaana nikutudanganya tu ooh ikifika wezi wakuminambili itakua mgao utakua umeisha, mwingine akasema ikifika mwezi wa tatu (uliopita ) mgao utakua historia mpaka sasa tunataabiaka mtaani hatuna umeme na ukiwepo ni kwamasaa katha . yaani hakuna siku unaacha kukatika.


  kwamfano nikiulizwa miaka mitano iliopita nini kimefanyika chakujivunia kwa miaka mitano mingine ??
  WAJUKUU WETU WATA KUJA CHAPA BAKORA MAKABURI YETU ​
   
 2. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #2
  Apr 24, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Watu wanaomfahamu vizuri Pinda na Kikwete wanasema Pinda anabanwa sana na Kikwete kiasi kwamba anaonekana mtu wa ajabu ajabu kwasababu anakuwa anamaamuzi fulani na anakuwa kamshirikisha JK lakini JK anabadirika dakika za mwisho kwasababu hanaga misimamo na kwasababu hajiamini ndiyo maana mambo yake huyafanya chinichini watu wasiomfahamu JK wanaweza kudhani kwamba hili sakata la bungeni JK hakuna anacho kifanya, inasemekana anafanya mambo mengi ikiwamo kumwambia Pinda awaagize wajiuzuru na mbele ya safari akiwaambia kwa kificho mawaziri wasifanye hivyo. Jk bwana kweli tuna mkuu wa nchi
   
 3. e

  ephrem Member

  #3
  Apr 24, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Suluhisho kila mmoja wetu atimize wajibu wake! tukiamua kwa umoja wetu watawajibika.
   
 4. K

  Kizotaka JF-Expert Member

  #4
  Apr 24, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 568
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Uongo ulikuwepo toka mwanzo ndo maana Magamba uongo wakauita siasa. Wakati umekwenda! Umepita! yako tu kama Mazuzu hayasomi alama za nyakati! yanaendelea na tabia ya kuleta uongo (siasa) panapohitajika utendaji. Itawagharimu siku za usoni, watatumia nguvu ya dola kumwaga damu ya wanannchi wasio na hatia, naliona hili dhahiri, watatumia nguvu nyingi kulinda uongo wao, wizi wao kwa manufaa yao chini ya mwavuli wa ccm, ccm ni kama kilevi tuu, ukishakuwa mwanachama unalewa na kutetea uovu mcha kweupe. Itatugharimu sana watanzania hali hii.
   
Loading...