Tanzania Daima walikuwa sahihi: Ni Upepo Umepita! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania Daima walikuwa sahihi: Ni Upepo Umepita!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kashaijabutege, Apr 24, 2012.

 1. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #1
  Apr 24, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Hongera Tanzania Daima kwa kutupatia ukweli. Sasa ikulu ilibisha nini? Ni upepo umepita.
   
 2. Jakubumba

  Jakubumba JF-Expert Member

  #2
  Apr 24, 2012
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 1,627
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Ikuru Sanyo sana, ukombozi uko njiani
   
 3. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #3
  Apr 24, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,257
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  ooh...oooh!!
  Kweli mkuu.
  Mazoea hujenga tabia.
  Na viongozi wanalijua.
  Upepo umepita huoo...
  Nadhani sasa wanachekelea
  Wanaangalia namna ya kuadhibu wabunge "viherehere"
   
 4. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #4
  Apr 24, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,328
  Likes Received: 1,794
  Trophy Points: 280
  Mdharau mwiba, mguu huota tende...atleast bado nakumbuka misemo ya miaka yangu ya utoto
   
 5. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #5
  Apr 24, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Wasingojee dhoruba wahame mapema
   
 6. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #6
  Apr 24, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,257
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  ...mkuu hapa twaota tende sie sie. Wao wanafahamu maisha baada ya hapa angalau. Vipi kuhusu sisi, wana na wana wa wana wetu.
   
 7. e

  ebrah JF-Expert Member

  #7
  Apr 24, 2012
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 397
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hizo slogan ndo zinazotumaliza na kuondoa umoja katika yeti, bikini tutaungana kupinga mambo Haya? Viongozi wanapojaribu kututetea na sisi raia tujitokeze tuwaubge mkono, otherwise ccm kupitia ikuky wataendelea kutuntonya, kutukandamiza na kutuharibia nchi yetu
   
 8. Pendael laizer

  Pendael laizer JF-Expert Member

  #8
  Apr 24, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  That's kweli kikwete keshatusoma watanzania na ameshajua kuwa sisi ni warahisi wakusahau mambo na kuona kawaida na ndio maana alisema ni upepo wa kisiasa na utapita tu. Mimi naona 2015 tukichukuwa nchi tuwashtaki mafsadi wote hata kama halitakuwepo katika katiba maana wanaweza wasilipitishe ili kujiwekea kinga.
   
Loading...