Tume ya Uchaguzi Itaajiri lini?

QUALITY

JF-Expert Member
Sep 27, 2010
853
115
Kumekuwa na Tetesi kuwa Tume ya Uchaguzi itaajiri wakurugenzi wa uchaguzi katika kila Halmashauri ili kumwondoa Mkurugenzi wa Halmashauri katika michakato ya uchaguzi. Nataka kujua kama kuna anayejua mchakato huu utaanza lini ili professionals tuchangamkie. Natumaini hawatabase kwenye itikadi waombaji wakalazimishwa kuambatanisha kadi ya CCM

Quality
 
Back
Top Bottom