Tanzania: Sakata la wabunge Dodoma kutaka kuiangusha serikali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania: Sakata la wabunge Dodoma kutaka kuiangusha serikali

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by abdulahsaf, Apr 24, 2012.

 1. a

  abdulahsaf JF-Expert Member

  #1
  Apr 24, 2012
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  AUDIO | DW.DE

  Click redio juu

  Nchini Tanzania, Waziri mkuu Mizengo Pinda leo anatarajiwa kutoa taarifa bungeni leo kufuatia sakata la bunge kuwataka mawaziri kadhaa wajiuzulu.

  Jumla ya Mawaziri wanane wanakabiliwa na shutuma za ubadhirifu na baadhi ya wabunge wametishia kuitisha kura ya kutokuwa na imani na waziri mkuu na serikali yake.

  Saumu Mwasimba amezungumza na mchambuzi wa masuala ya kisiasa Dr Benson Bana ambaye ni mhadhiri wa chuo kikuu cha Dar es salaam na kwanza anaelezea mtazamo wake kuhusu sakata hili lilipofikia.
  (Kusikiliza mazungumzo hayo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)
  Mahojiano:Saumu Mwasimba / Dr Bana
  Mhariri: Moahammed Abdul-Rahman
   
 2. M

  MIRIJA IKATWE Senior Member

  #2
  Apr 24, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 136
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Very nice channel
   
Loading...