Cabinet: Wakati Muafaka Ni Sasa!

Apr 27, 2006
26,588
10,375
- Ni wakati muafaka sasa Rais akavunja Cabinet, kulinda heshima ya Serikali yake na hasa ya chama. Ingawa ninasikia tetesi, lakini ninataka kuamini kwamba ni kweli kama ninavyosikia kwamba atavunja baraza by the end of this week au early next week,

-I mean enough is enough, sasa it is about the legacy na pia kukinusuru chama, ninasema tena ni muhimu sana Mheshimiwa Rais akavunja Baraza sasa.

Es!
 
we umemsahau Rais wako, ata akivunja hamna jipya,utasikia maige kaenda wizara ya elimu,Mkulo kahamishwa kilimo,ngeleja kahamishwa ujenzi, yaani hamna jipya bora ata hasilivunje.
 
- Ni wakati muafaka sasa Rais akavunja Cabinet, kulinda heshima ya Serikali yake na hasa ya chama. Ingawa ninasikia tetesi, lakini ninataka kuamini kwamba ni kweli kama ninavyosikia kwamba atavunja baraza by the end of this week au early next week,

-I mean enough is enough, sasa it is about the legacy na pia kukinusuru chama, ninasema tena ni muhimu sana Mheshimiwa Rais akavunja Baraza sasa.

Es!

Akivunja Baraza la Mawaziri, nani ata-approve appointment ya Waziri Mkuu?

Labda kama una maanisha reshuffle.
 
ES

Kuvunja baraza na kuwajibishwa ni vitu viwili tofauti.
Vyote viwili vinatakiwa vitokee sambamba.

Mwizi habembelezwi wala kufunguliwi mlango wa uani atokomee!
 
Mkisimamishwa mbele ya kundi la watu mnahema sana ila kwenye keyboard....

Mwambie Tingatinga amshauri Kikwete kwamba hii dhoruba haitapita hivihivi...
 
Back
Top Bottom