Nakala halisi ya saini za wabunge (iwe scanned) na isambazwe majimboni

PERECY

Member
Jan 11, 2012
29
16
WanaJF,

Namwomba Mheshimiwa Zitto, atufanyie scan fomu yenye majina na sahihi halisi za wabunge waliounga mkono hoja ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu, na isambazwe majimboni ili tujue vizuri ni mbunge wa jimbo gani aliunga mkono, na mbunge gani hakuunga mkono, ili wale ambao hawakuunga mkono, wakija majimboni kwetu, tuweze kuwauliza palepale na kuwaambia kwamba kuanzia siku hiyo hutuwatambui kama ni wabunge halali kwani wanashindwa kuonyesha kwa vitendo kulinda maslahi yetu.

Tufike mahali tufanye maamuzi ya uhakika! Hizi mbwembwe hazitatufikisha mahali.
 
Heading inachanganya. Nimefungua ili niprint, nakutana na kitu tofauti. Shit.
 
we ndo umesoma heading kwa kukurupuka "iwe scanned" kuwa makini kama kiswanglish hujui uulize
 
No need, majina tu yanatosha sahihi zao unazitaka za nini au unataka kufoji hati zao.
 
Lakini kubwa zaidi vichapishwe vipeperushi kuonyesha uozo wote wa serikali jinsi waajiriwa wa serikali ya jk wanavyotafuna pesa,huku akisema huu ni upepo utapita tuu. Hivi watz tumefikia hapo,wagonjwa wanakufa mahospitalini na wanafunzi wanakaa chini rais anakwenda matanuzi nje
VIPEPERUSHI VICHAPISHWE VIONYESHE UBADHIRIFU WOTE,TUPO TAYARI KUFUNGA MIEZI 18 KUONDOA UCHAFU WOTE SERIKALINI KUANZIA MWANZO HADI MWISHO
 
WanaJF,

Namwomba Mheshimiwa Zitto, atufanyie scan fomu yenye majina na sahihi halisi za wabunge waliounga mkono hoja ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu, na isambazwe majimboni ili tujue vizuri ni mbunge wa jimbo gani aliunga mkono, na mbunge gani hakuunga mkono, ili wale ambao hawakuunga mkono, wakija majimboni kwetu, tuweze kuwauliza palepale na kuwaambia kwamba kuanzia siku hiyo hutuwatambui kama ni wabunge halali kwani wanashindwa kuonyesha kwa vitendo kulinda maslahi yetu.

Tufike mahali tufanye maamuzi ya uhakika! Hizi mbwembwe hazitatufikisha mahali.

Hata kama hili likitokea bado halitakuwa na afya katika mustakbali wetu, kwani orodha tayari tunaijua na bado hatujafanya lolote, hata baada ya kuona muitikio wa serikali na Speaker.
Tatizo letu watanzania tumeweka nguvu kubwa kwenye keypad na keyboard zetu bada ya kufanya mambo kwa vitendo. It's because of us the best patriotic leaders are wondering in street huku nchi ikiongozwa na majambazi
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom