Natumai mu wazima na mnaendelea kulisukuma gurudumu la maendeleo la nchi yetu ambalo kwa mtazamo wangu linaenda kinyumenyume na wala hakuna matumaini ya kuligeuza na kulipeleka...
Wadau,
kwa wale wanaofikili TZ inatisha kwa deni la taifa, basi tuangalie majirani zetu na pia tuangalie wale tunaowatembezea bakuli.
Kenya
Public debt
$14,962,191,781
Public debt per...
Cdm tumeshinda uchaguz wa mwenyekiti wa kijiji cha Burifan kwa mgombea wetu ndugu.DEOGRATIAS LAURIAN Kupata kura 401 uku mgombea wa ccm ndugu mathias kibarwiga akipata kura 129 na Mgombea wa TLP...
Wadau, kutokana na sarakasi zilizochezwa leo bungeni, nina wazo kwamba hatuna haja ya kuendelea kupoteza hela kwa kulipa kamati za bunge, kwa kuwa hazina impact yoyote kwa nchi.
Kama kamati za...
Ilikuwa tarehe 12/4/2012 bungeni Dodoma wakati Waziri Mkuu akijibu maswali ya papo kwa papo, ndipo Mbunge wa Iramba Magharibi Mh. Mwigulu Nchemba akamuuliza Waziri Mkuu status ya CHANGE YA RADA...
Mabadiliko makubwa ya baraza la mawaziri na Watendaji Wakuu wa serikali yanayotarijiwa kufanyika mwishoni mwa wiki hii ni matokeo ya ushujaa wa Mh Pinda ambaye ni Waziri Mkuu na kiongozi wa...
Heshima kwako mwanaJF!
Napenda kutoa taarifa kwa wale wanachama/wafuasi wa CDM wanaoishi/wanaotoka wilaya ya Lushoto kwamba kutakuwepo na operesheni kabambe ya kienezi tunayotarajia kufanya...
Temetoka mbali sana. Misingi mingi ya uzalendo iliyojengeka miaka mingi ya nyuma sasa imeanza kupotea. Suala la kutunza na kuheshimu mali za Umma siku hizi ni jambo ambalo masikio kwa watu wengi...
Mama Malecela,
I have seen and read about the anger and hatred that mafisadi in Tanzania are constantly making to getting into what you do in the parliament. I have just got a complete picture...
Bofya hapa kusikia tamko la Zitto na Filikunjombe
http://yourlisten.com/Player.swf?id=123979
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM na Mbunge wa Musoma Vijijini, Nimrod Mkono akiweka saini kwenye...
Jamani ukifuatilia mjadala wa bungeni siku chache zilizo pita hasa kuhusu wizara ya mali asili na utali na ile habari ya gazeti la Mtanzania eti wanakamati wa Ardhi,Maliasili na Mazingira walipewa...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
HOJA YA KUTOKUWA NA IMANI NA WAZIRI MKUU BUNGENI KWA MUJIBU WA KATIBA IBARA YA 53A NA KANUNI YA BUNGE, KIFUNGU CHA 133 KUWASILISHWA KWA SPIKA KESHO TAREHE 23/04/2012...
Moja ya vitu vinavyotafuna rasilimali za nchi hii ni sikukuu za kitaifa za serikali. Mbali na sikukuu zipatazo 15 za kitaifa za serikali na dini ambazo ni rasmi, kuna sikukuu zisizo na idadi za...
Ili kujiandaa kuelekea uchaguzi mkuu wa 2010 Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA leo wapo Jijini mwanza ili kuweza kuibua mchakato wa kuiboresha sera yake ya majimbo ambayo kilijinadi nayo...
Pendekezo langu ni kwamba; Pindi wabunge watakapo rejea majimboni, tuwabane tukiwataka watueleze ni kwa nini wamashindwa kuiwajibisha serikali kwa madudu waliyofanya.
Msamaha tuuelekeze kwa wale...
Vyovyote vile ukiangalia kutokuwajibika kwa Mawaziri na Nchi kwenda kama kipofu mlevi.., wa kulaumiwa ni mmoja tu.., nae ni mkuu wa nchi..
Kabla sijasema ni kwanini naomba nielezee kisa kimoja...
Waziri Mkuu katoa hotuba ya kufunga bunge (Hotuba nzima ipo post ya pili chini).
Hakuna Waziri hata mmoja aliyejiuzulu wala kuwajibishwa kama wengi walivyotarajia.
Spika kahitimisha kwa...
Chanzo;mpayukaji blog
Hakuna ubishi kuwa spika wa Bunge Anna Makinda ni changuo la mafisadi. Ushahidi ni kushindwa kujibu tuhuma hizi ziliporushwa na spika wa zamani Samuel Sitta baada ya...
Jana jioni wakati bunge likiahirishwa huku watu wakiachwa midomo wazi kwa kutosikia walichokitarajia, nilikuwa sehem naangalia hitimisho hilo la mtoto wa mkulima. Baadaya kuisha kwa hotuba yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.