M4c yapiga hodi wilaya ya ngorongoro

Topi

Member
Feb 7, 2012
59
17
Kwa mara nyingine tena baadhi ya madiwani ktk (H) ya wilaya ya ngoro*2 wamezidi kumiminika nyumbani kwa mhe. Long'oyu diwani kata ya Losoito/Maaloni kumshawishi asiachie ngazi baada ya mhe.huyo kutangaza kubwaga manyanga ccm na kuhamia cdm, mhe.Long'oyu amesema amechoshwa na madudu ya ccm, ikiwemo umaskini uliokidhiri kwa wananchi wa wilaya hiyo,ukosefu wa huduma za jamii, miundombinu,migogoro baina ya wananchi na wawekezaji na matatizo lakuki yanayosababishwa na serikali ya magamba pamoja na wilaya hiyo kuwa ya pili kuingizia nchi mapato baada ya Ilala na rasilimali nyingi zinazopatikana ktk wilaya hiyo. Ee mungu baba magamba hawa washindwe ktk jina lako na watupilie mbali. Karibu mhe.ktk harakati za kulikomboa taifa hili. Source:mimi mwenyewe nipo maeneo hayo, nitawajuza kitakacho endelea.
 
nilidhani Dr. waukweli ametia timu!
aisee wewe!

Kama hajaamua abaki huko tunahitaji watu wenye imani nasi lakini kuna deadline ya kupokea viongozi kutoka magamba baada ya hapo wanachama wa kawaida ndiyo watakaoruhusiwa
 
Taarifa kutoka kwa m2 wa karibu wa mh. ni kwamba waheshiwa wamekwisha sepa lakini haijafahamika wameafikiana vp, tunaendelea kufuatilia na tutawajuza wandugu, nasikia mhe.huyu ni jembe la ukweli. Cdm daima!!!!
 
Duh!!!!!!! Yesu na Maria, ccm kwisha habari, huyooooooo!! anatapatapa na soon atakata roho, R.I.P kwa sanaaaa sisiemu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom