Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

KAMA JK alikuwa anawazo la kuwawajibisha mawaziri ikulu isingekuwa na haja ya kukana habari 'potofu' kama ilivyoziita tungeona vitendo tu! Kusema kwamba haiwezi kulinda uozo ni kuwasafisha...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mimi mwanaCCM Lakini hili la nchi yangu kuuzwa huku nikiwa mzima linanuuma saana Hivi kitu kama hiki kinaweza kufanyika bila RAIS kujua? Je Rais wangu alikuwa anajua hiki kitu? Chukulia mfano...
2 Reactions
34 Replies
3K Views
kutokana na mambo yanavyokwenda bungeni wengi tumeanza kupata hisia huenda pm akang'olewa. Ila tukumbuke wabunge wa ccm ni wale wale wale waliokalishana chini na kuja kupitisha muswada mbovu wa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wizara yake inatoa vibali vya uwindaji kinyume cha sheria. Maige anailalamikia Kamati kuwa haikumshirikisha yeye kama Waziri. Maige anadai Kamati 'inadaiwa' kuhongwa. Kamati inadai Wizara...
0 Reactions
172 Replies
12K Views
Nyie Wadanganyika, mkiambiwa msiwape CCM zaidi ya nusu ya Wabunge basi mjue tuna maana ya kutabiria hali kama hii! Endapo leo hii CCM wangekuwa na viti 70 na vingine upinzani haki ya Mungu kuanzia...
0 Reactions
0 Replies
916 Views
Wadau tunaomba mwongozo kuhusu Kauli ya serikali kuhusu uwajibikaji wa mawaziri kujihuzulu je Pinda keshatoa mwongozo
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Habari wana jf,napendekeza kauli mpya hii waitumie chadema,ninaimani itavuta sana watu kutoka pande zote za nchi.napendekeza chadema watembee nchi nzima kueneza kauli hii mpaka vijijini huku...
8 Reactions
58 Replies
8K Views
Ni kuhusu migodi ya madini, nimekuta akitakiwa na spika kuleta taarifa yake kwa maandishi. Nimechelewa chanzo chake. Aliyesikia kwa mapana tafadhali. Ufafanuzi: Anayetajwa hapa si Waziri wa...
1 Reactions
147 Replies
18K Views
wakuu tukiwa tunaelekea kwenye katiba mpya napendekeza lifuatalo; tuweke maneno tunayoamini kuwa ni ya msingi kwenye katiba mpya kwa ajili ya tafakari zaidi bones are made before the flesh and the...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
-Raisi ateuwe mawazili ila wawe wana report kwa waziri mkuu,pia waziri mkuu awe na mamraka maarumu ya kumfukuza kazi waziri kwa nakara ya mapendekezo ya bunge. - katibu mkuu kiongozi awe...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Taarifa ya Waziri wa Kilimo ndg. Maghembe inasema kuwa wale waliochakachuwa mbolea kwa kuchanganya na chumvi wamechukuliwa hatua, kesi zipo mahakamani na wanatuhumiwa kwa kuhujumu uchumi. Kifupi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu zanguni wanabodi naomba tujikumbushe sentensi moja tu ambayo mh. NATSE ALIYEKUWA MENEJA WA KAMPENI WA ARUMERU CDM'. ALISEMA HIVI PALE LEGANGA 'WATANZANIA IMEFIKA WAKATI TUSEME BASI'. As if...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Katibu wa Kamati ya Wabunge wa Chama cha Mapinduzi, Jenista Mhagama, akizungumza na waandishi wa habari mjini Dodoma mara baada ya kumalizika kwa kikao ambacho kimewashauri mawaziri wanane...
23 Reactions
799 Replies
97K Views
Naomba msaada ndugu zangu je kuna mahali popote wanauza gwanda za chadema au ukitaka unajishonea tu mwenyewe???nataka niwe member kamili maana ntajickia furaha sana kama nkipita road nimezivaa, au...
1 Reactions
53 Replies
5K Views
Ole Sendeka azomewa Katika kikao hicho wabunge walimzomea Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole-Sendeka baada ya kusimama na kuonyesha wazi kuwa anawatetea mawaziri hao walioonekana kuchafua hali...
3 Reactions
61 Replies
8K Views
1. Sombetini - Arusha. 2. Sengerema - Tabasamu. 3. Buchosa - Tzeba. 4. Iringa - Alijinyonga diwani wa Magamba. 5. Ongeza kata zingine!
2 Reactions
36 Replies
5K Views
SUNDAY, APRIL 22, 2012 KANUSHO LA HABARI POTOFU KATIKA TANZANIA DAIMA AMBALO LEO LINA KICHWA CHA HABARI KISOMEKACHO "JK.ALINDA MAWAZIRI" TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Gazeti la Tanzania...
2 Reactions
173 Replies
14K Views
Wadau, sisi tuliokuwepo kwenye mkutano wa hadhara wa Dr. Slaa pale Sengerema tulijulishwa na wadau kuwa madiwani wote wa CCM walikuwa wamefungiwa ndani ili wasihudhurie mkutano wa hadhara wa Dr...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Anaongelea mambo ya matusi na kupakana matope kwenye kampeni,msikilizeni ana hoja za msingi
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Kama Mawaziri watagoma kujiudhuru pamoja na kasfa zote za ubadhirifu na matumizi mabaya ya madaraka ,je wananchi tuishie kupiga kelele tu au kuna hatua twaweza chukua achilia mbali sahihi 70 za...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Back
Top Bottom