Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kumekuwepo na tetesiza uwezekano wa kuvunjwa kwa baraza ka mawaziri wakati wowote kuanzia sasa. Na wapo watu ambao wametoa wito kwa rais kufanya hivyo. Je hoja ya mdahalo huu ni ya kweli au siyo...
1 Reactions
70 Replies
6K Views
Siku alipokuwa akitangaza majina ya wajumbe wa tume ya katiba, Kikwete alisema kuwa "Wananchi wajadili katiba, wasijadili Muungano" na akasisitiza kuwa watakaojadili Muungano watachukuliwa hatua...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Source: Inner City Press: Investigative Reporting from the United Nations, U.N. Officials Reluctant To Disclose Financial Relationships And Assets, Putting Spotlight On Ethics | Fox News, maoni...
9 Reactions
67 Replies
9K Views
Watanzania walio wengi ikiwa ni pamoja na Wabunge, Viongozi wa ngazi mbali mbali Serikalini, Viongozi wa dini na watu wengine wa kada mbalimbali walitegemea na walikuwa na matumaini chanya katika...
10 Reactions
41 Replies
5K Views
Muasisi wa Ukomunisti Karl Marx akinukuu maneno ya Mwanafalsafa wa Kijerumani Hegel, alisema, Na Naomba kunukuu. "Kila mfumo una mbegu ndani yake za kujiharibu, au kujimaliza wenyewe" Nasema hivi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
BAADHI ya wabunge wa Chama cha Mapinduzi, walioshiriki kusaini hoja ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu kwa nia ya kushinikiza kujiuzulu kwa mawaziri wanaotuhumiwa kufuja mabilioni ya fedha...
6 Reactions
90 Replies
10K Views
Labda tujenge hoja kwa kusema HIVII HAZINA ni kama Roho ya kitu kinachojiita serikali. Ili serikali zote Duniani ziendeshwe lazima ziwe na mkoba wa vijisenti na masenti yao. Viongozi wenye...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Orodha ya wabunge waliosaini: 2. Rashid Ali Abdallah – CUF 3. Chiku Aflah Abwao- Chadema 4. Saluim Ali Mbarouk – CUF 5. Salum Khalfam Barwany – CUF 6. Deo Haule...
4 Reactions
29 Replies
6K Views
"Wananchi wanahitaji watendaji wanaofanya kazi, ukikosa kuwajibika kwa wananchi watawajibisha" Mwisho wa kunukuu Nape ameyasema hayo baada ya diwani Mwingine Mwanza kukihama chama cha mapindizi...
3 Reactions
83 Replies
7K Views
JK aliwachimba mkwala wenzake pale bungeni. Alisema yeye pamoja na kuwa ana sura ya tabasamu lakini ni mkali kwenye mambo ya msingi. Mbona hawi mkali na pesa ya walalahoi inayoliwa na serikali...
0 Reactions
3 Replies
999 Views
Kushoto (CAG), Ludovick Utouh Kulia Speaker Anne Makinda Malipo hewa kwa wabunge yabainishwa Mthibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, (CAG), Ludovick Utouh...
5 Reactions
70 Replies
7K Views
Wabunge, Serikali sasa jino kwa jino WATUPA MPANGO WAKE WA...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Watanganyika wenzangu inaakuwaje kiongozi yeyeto yule awe Rais au Mawaziri wakiulizwa maswali kama vile matatizo ya maji,umeme,mfumuko wa bei za vyakula nk, hawatoi majibu ya kueleweka mara...
0 Reactions
0 Replies
673 Views
hivi hawa mawaziri wa Vasco Dagama wanajua maana ya uwajibikaji? maana kwa wenzetu walioendelea kashfa ndogo tu hata kama waziri hakuhusika moja kwa moja anajiuzuru hapa kwetu mpaka wananchi...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Heshima Kwako MwanaJF. Kitendo cha Januari Makamba, Shekifu na Ngwilizi na wengi wa Wabunge wa CCM kutosaini kutokuwa na imani na PM pamoja na mawaziri wake huku wananchi wa Lushoto na Tanzania...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Majembe ya CDM yatafanya mkutano mkubwa wa CHADEMA kesho mchana katika viwanja vya Kwaraa, na watazindua matawi ya chama na vijiwe vya wakereketwa. Pia watapokea kadi za watu maarufu wa CCM na...
0 Reactions
52 Replies
7K Views
Fahamu hili katika Katiba Mpya ya Kenya. Bunge la Kenya linaendelea chini ya Katiba Mpya ambapo katika kila kikao cha Bunge ni lazima Rais aje ahutubie Bunge na kueleza utekelezaji wa Maadhimio...
0 Reactions
0 Replies
759 Views
Kaka Pinda kama unajiona ni msafi ondoka huyu jamaa (JK) si wakufanya naye kazi. Utaingia kwenye mgogoro mkubwa sana na wananchi wako nakuomba sana mwachie nchi na wenzake. Ujue ukitaka kumlizishe...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nakupenda sana kwa mafanikio ya kuua ccm. Tangu lini kiongozi uambiwe hawa watu ni wezi badala ya kushughulikiwa sisi tunatafakari cha kuwafanya. Tunataka waharibu nini ndio wachukuliwe hatua...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Send to a friend Tuesday, 24 April 2012 20:53 0diggsdigg Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Zitto Kabwe WATUPA MPANGO WAKE WA MAENDELEO, PIA WAJIPANGA KUKWAMISHA BAJETI, CHADEMA WAANDAA...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom