Migiro Kuigharimu Tanzania

Goodrich

JF-Expert Member
Jan 29, 2012
2,091
1,177
Source: Inner City Press: Investigative Reporting from the United Nations, U.N. Officials Reluctant To Disclose Financial Relationships And Assets, Putting Spotlight On Ethics | Fox News, maoni binafsi na vyanzo visivyo rasmi.

Jitihada kubwa zilifanywa na Migiro binafsi na pia kuwatumia African Group of Nations kujaribu kuhakikisha Ban Ki Moon anabadilisha uamuzi wake wa kumtosa UN, lakini hilo halikusaidia kitu. Ban alishikilia uamuzi wake wa kuunda aliyoita 'timu ya kazi'. Sababu hazijawekwa wazi, lakini kama alivyobainisha Ban kuwa anataka ufanisi, ni wazi kuwa kulikuwa hakuna ufanisi.

Tayari ameshamteua mwanadiplomasia Jan Eliasson, raia wa Sweden, kuchukua nafasi hiyo ya Migiro. Migiro kwa mujibu wa mkataba wake, ataondoka rasmi UN mwezi Jun, 2012.

Hapa nyumbani, Tanzania kuna habari kutoka kwa insiders wa ikulu kuwa mabadiliko ya Baraza la Mawaziri yanasubiri kurudi kwa Migiro.

Maisha ya Watanzania yameendelea kuwekwa rehani kwa sababu ya mtu mmoja. Kuna matatizo makubwa Wizara ya Afya, Wizara ya Nishati na Madini nk, Mawaziri wengi hawapo ofisini kwa sababu za kiafya na wengine wameonyesha kushindwa, na baadhi wana kashfa. Lakini kwa sababu ya mtu mmoja, hakuna mabadiliko ya cabinet hadi atakapokamilisha mkataba wake UN na kurudi TZ ili naye apangiwe Wizara katika mabadiliko hayo.

Matatizo mengi ambayo nchi inapitia leo yanasababishwa na malengo ya 2015.

 
Leaving such a rare experienced, erudite diplomat out of ministers cabinet is simply an irrational decision. Consequently, I am in favour of JK's plans to include the woman into his own 'timu ya kazi', though I am completely against those tipping her for presidency.
 
Unajua tatizo wananchi mnamshinikaza afumue baraza la mawaziri ila yeye anaona akilifumua ni kama atakuwa ameenda sawa na matakwa ya watz mostly upinzani.
Nyuma ya pazia hajui kuwa ni wananchi hao hao waliomuweka madarakani ndo wanataka mabadiliko.
 
Hii ndio bongo bana. Unalofikiri haliwezekani katika hali ya kawaida bongo linawezekana katika hali zote.
 
nimechek hiyo link uliyoweka hapo juu mbona haina uhusiano na unachokisema!
 
Hii Tanzania ni Migiro tu ndiye anayefaa kuwa kiongozi?

Kwani Migiro ni kiongozi? Why UN expelled her? She was/is not a Leader, yapi kayafanya? Just mention one.... jibu ni hakuna...THESE DAYS WE HAVE WE DON'T NEED WASOMI WA MAKARATASI NA CVs kibao with 0
results in the field, huyu HAFAIIIII
 
Leaving such a rare experienced, erudite diplomat out of ministers cabinet is simply an irrational decision. Consequently, I am in favour of JK's plans to include the woman into his own 'timu ya kazi', though I am completely against those tipping her for presidency.

As long as ur sweety its good.
 
Halafu wewe nani kwakwambia kuwa Baraza la Mawaziri litafumuliwa na kushona upya?
 
Watu wa kazi Tanzania hawatakiwi kabisa, deliberately kwa vile uozo na uzembe huu unawanufaisha mafisadi na wawekezaji wao. Migiro is a good target kwa kuwa SIO MTU WA KAZI tutaweza kupitisha mabomu yetu kama tunanawa. Watu wa kazi, genius kama Dr Magufuli hata hawatajwi simply because watapiga kazi na kuziba mianya ya wizi
 
kuna yule mama alikuwa speaker wa bunge la africa kula pretoria Getrude Mongella,alikimbizwa kwa sababu ya poor perfomence,aibu kwa tanzania aibu kwa ccm
 
Leaving such a rare experienced, erudite diplomat out of ministers cabinet is simply an irrational decision. Consequently, I am in favour of JK's plans to include the woman into his own 'timu ya kazi', though I am completely against those tipping her for presidency.
Watu wenye uzoefu kama huu ndo wana uzoefu pia wa kuiibia nchi kuliko wale ambao hawana diplomatic experience ya kutosha. Kuna experienced diplomat kama Salim A Salim hapa nchini? Ni waziri wa nini yeye? Tuache kuamini kwamba nchi inaweza kwanda wakiwemo tu akina fulani wakati nchi ina wakaazi zaidi ya 40 milioni? Hivi unawezaje kunambia kwamba kati ya hawa wote hakuna mwenye uwezo kama wa Migiro? Haya ni matatizo ya kuthink within the box ya JK, hawatumii TISS wake kutathimini watu wanaofaa kuwa viongozi, badala yake anafikiria zaidi ulipaji wa fadhila na kujuana.
 
Back
Top Bottom