Januari, Shekifu na Ngwilizi wametuangusha Lushoto | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Januari, Shekifu na Ngwilizi wametuangusha Lushoto

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mbelwa Germano, Apr 25, 2012.

 1. Mbelwa Germano

  Mbelwa Germano JF-Expert Member

  #1
  Apr 25, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 789
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Heshima Kwako MwanaJF.

  Kitendo cha Januari Makamba, Shekifu na Ngwilizi na wengi wa Wabunge wa CCM kutosaini kutokuwa na imani na PM pamoja na mawaziri wake huku wananchi wa Lushoto na Tanzania nzima wakijua fika ni kwa jinsi gani uharibifu wa mali za umma ukiwa wa hali ya kutisha umetufundisha mambo makuu matatu:  1. Wabunge hawa hawako kwa ajili ya maslahi ya wananchi wenzao waliowachagua hivyo wabunge niliowataja sio wawakilishi sahihi wa wananchi wa Lushoto.
  2. Hawaamini katika maslahi ambayo yapo juu ya chama (Badala ya Tanzania namba moja wao wanaamini CCM ndio namba moja)
  3. Ni vigeugeu (hawana msimamo) tusioweza kuwaamini katika kujenga taifa ndani ya mipaka ya uwajibikaji-ni wabinafsi

  Kwa wanaopenda mabadiliko wilaya ya lushoto kwa dhati kabisa nawaomba waunge mkono CDM kwa jitihada tunazofanya za kuhamasisha wananchi wa Lushoto kutambua Tanzania ndio nambari moja. Tunaendelea kupata majina ya wanachama/wafuasi wanaoishi/wanaotoka wilaya ya Lushoto ambao wapo tayari kujiunga na timu ya wapambanaji.

  M4C+PEOPLE'S POWER=HAKIKA TUTASHINDA!
   
 2. Mshuza2

  Mshuza2 JF-Expert Member

  #2
  Apr 25, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 4,096
  Likes Received: 1,714
  Trophy Points: 280

  1. Wabunge hawa hawako kwa ajili ya maslahi ya wananchi wenzao waliowachagua hivyo wabunge niliowataja sio wawakilishi sahihi wa wananchi wa Lushoto.
  2. Hawaamini katika maslahi ambayo yapo juu ya chama (Badala ya Tanzania namba moja wao wanaamini CCM ndio namba moja)
  3. Ni vigeugeu (hawana msimamo) tusioweza kuwaamini katika kujenga taifa ndani ya mipaka ya uwajibikaji-ni wabinafsi
  Kwa wanaopenda mabadiliko wilaya ya lushoto kwa dhati kabisa nawaomba waunge mkono CDM kwa jitihada tunazofanya za kuhamasisha wananchi wa Lushoto kutambua Tanzania ndio nambari moja.

  Tunaendelea kupata majina ya wanachama/wafuasi wa Mkuu nimekupata tutawasiliana tuendeleze harakati! si umeona vijana hapo stand wanapeperusha bendera bila woga? kazi ndio imeanza!
   
 3. iron2012

  iron2012 JF-Expert Member

  #3
  Apr 25, 2012
  Joined: Feb 16, 2012
  Messages: 358
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  kusaini au kutokusaini ni haki yao kikatiba msiwalaumu sana
   
 4. Mshuza2

  Mshuza2 JF-Expert Member

  #4
  Apr 25, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 4,096
  Likes Received: 1,714
  Trophy Points: 280
  Mkuu nimekupata! tutawasiliana tuendeleze harakati,ndugu zetu wamelala,ila angalau vijana hapo stand wamenifurahisha,bendera ya CHADEMA inapepea! mwanzo mzuri! kitaeleweka soon!
   
 5. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #5
  Apr 25, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Watu wa Tanga waoga sana.........
   
 6. Mbelwa Germano

  Mbelwa Germano JF-Expert Member

  #6
  Apr 25, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 789
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Sasa wanasimama wapi ikiwa wao ni wawakilishi wa wananchi wenzao ambao ndio walipa-kodi ambazo zinachakachuliwa na genge?
   
 7. Y

  Ye Nyumbai Senior Member

  #7
  Apr 25, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 125
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naunga mkono hoja. Lushoto tunahitaji mabadiliko. Shekifu na Ngwilizi ni mizigo haifai na inatakiwa itupwe jalalani.Nitakuwa Lushoto mwezi Mei na naenda kuhamasisha.Tuko pamoja kamanda.
   
 8. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #8
  Apr 25, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,110
  Likes Received: 10,460
  Trophy Points: 280
  Pole zenu wanaLushoto subirini M4C iwafikie.
   
 9. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #9
  Apr 25, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,367
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  NAOMBA TUSILAUMU WABUNGE KWA KUTOKUSAINI OPERATION UWAJIBIKAJI,KWA LUSHOTO WAKULAUMIWA NI WANANCHI WENYEWE KWA SABABU YA KUKUMBATIA RUSHWA,NADHANI KWA TZ WILAYA HIYO INAONGOZA.KAMA KWELI MH.KISANDU AMEFUNGUA KESI DHIDI YA SHEKIFU HATA MIMI NITATOA USHAHIDI WA NAMNA RUSHWA ILIVYOKUWA 2010.TAKUKURU OVYO KABISA LUSHOTO.Naomba sana kabla ya kuwalaumu hawa wabunge'bortion' waliopatikana kwa rushwa ya kutisha sana,ELIMU YA URAIA ITOLEWE BILA WOGA HASA KUIFANYA JAMII YA LUSHOTO KUCHUKIA RUSHWA.NAWALAUMU SANA SHELUKINDO NA MSHANGAMA KWA KUKALIA USHAHIDI WA RUSHWA LUSHOTO,DHAMBI HII ITAWATAFUNA SANA.
   
 10. Y

  Ye Nyumbai Senior Member

  #10
  Apr 25, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 125
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  TEMILUGODA, umesema kweli.Tatizo kubwa la watu wa Lushoto ni kupenda rushwa.Shekifu ni mhongaji mzuri sana na mtu anayependa kujigamba kwamba ni msomi na asiye na shida.Ni mtu wa kuwakandia wapinzani wake na hana jipy zaidi ya hapo.Hata bungeni ni jitu la kupumua kama tembo aliyeshiba na kuunga hoja mkono,ni mzigo huyu bwana.
  NGWILIZI naye ni boga linngine ndani ya Mlalo.Alipita kwa rushwa nyingi na kiukweli Kagonji wa CDM alishinda ila njaa za mawakala zilipelekea Ngwilizi kupata ushindi.Watu wa Lushot wasitegemee chochote kutoka kwa hawa mabwana wawili kwani pesa yao ndo ilowapa ubunge.
  Ndugu zangu wa Lushoto acheni kukariri kwamba kiti cha ubunge ni haki ya ccm wezi.
   
Loading...