Julius Malema amefukuzwa tena ndani ya chama chake kwa kumuita Jacob Zuma Dikteta.Nilmeshaandika sana hapa kuhusu vijana ndani ya chadema wanaonyesha misimamo yao binafsi huku wakikosoa vikali...
Huyu mama na wakina John Bendela, Bulihani nk tuliwakataa katika boxi la uchaguzi ila wamependwa zaidi na JK.
Huyu leo nimmsikia naibu mkuu wa mkoa wa Dsm anaumuhimu gani ndani ya taifa hili...
Fahamu hili katika Katiba Mpya ya Kenya.
Bunge la Kenya linaendelea chini ya Katiba Mpya ambapo katika kila kikao cha Bunge ni lazima Rais aje ahutubie Bunge na kueleza utekelezaji wa Maadhimio...
Mbunge huyo ametakiwa athibitishe kauli yake na naibu spika.
Lukuvi amemtaka Mh Filikunjombe athibitishe kauli yake kuwa mawaziri Wengi ndio wanaoongoza kwa kuitafuna nchi hii.
Filikunjombe...
Wakati bunge limehairishwa Juzi J3 hoja nyingi za wabunge zilionyesha kuwa wizara nyingi hazikapewa fedha kulingana na bajeti ya serikali ya 2011/2012 ya sh. Tril 12.
Kwa mfano wizara ya ujenzi...
Nikukosa umakini na kutokuwa na uchungu na taifa hili, ila Jaji mkuu anauwezo wakumshitaki rais, pindi anaona Rais analiendesha taifa pasipo kujali sheria. Nilazima tujuwe, urafiki, ukaribu ndio...
Chadema ina uhakika mkubwa wa kushika Dola katika uchaguzi ujao kama utakuwa kweli huru na wa haki. Naunga mkono Sera yao ya Utawala wa Majimbo, na ningependekeza kwamba waiweke hadharani tangu...
Nawaomba watanzania wenzangu hasa vijana ,tutafute kauli mbiu ya kutupeleka 2015 .Tujaribu kuchunguza matatizo ya nchi yetu kwa ujumla ili tutafute suluhisho la kudumu,binafsi nafikilia kwanza...
Wanajf hapo vp? Rais wa jamhuri ya muungano wa kenya, tz, uganda, somalia na sudan, amepewa mwaliko na ameukubali wa kwenda kufanya upatanisho kati ya sudan kusin na kaskazin. Hivo akitoka malawi...
Wana JF
Baada ya Mtoto wa Mkulima na waziri mkubwa Pinda kulihujumu taifa kwa kushindwa kutupa kile tulichokitarajia wakati akiahirisha mkutano wa Bunge Idodomya, nakuja hapa na ombi maalum...
Simba moja jeupe linauzwa USD 50,000.00 kwenye black market, ukiuza 20 tu unakuwa na USD 1,000,000.00. Kama kila mwaka unauza 20 mpaka phase ya Rais aliyekuteua kuwa waziri bila kufanya reshuffle...
Nasema hivi Augustino Lyatonga Mrema tungempa nchi 1995 sasa hivi kungekuwa na discipline kubwa sana. Yule babu anaonekana ana uchungu na nchi mengine ni ya kibinadamu kwa kweli. Mkapa...
Kwenye gazeti la the Guardian on Sunday la tarehe 22 April 2012 kuna habari inayosema kuwa Zitto kusimamia zoezi la petition kwa ajili ya kumng'oa Pinda linatokana na 'pressure' ya wananchi na...
Kumekuwa na fikra ama dhana potofu miongoni mwa vyama mbadala tanzania kwamba wagombea urais kupitia vyama hivyo ni lazima wawe wenyeviti ama makatibu wakuu wa vyama hivyo,huu sasa unaonekana kama...
From Zitto's tweeter page:-
Kesho Jumatano, Alfajiri, ntakuwa ITV kumekucha kuhusu
Hoja ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu. #sahihi70 #G75 #OperesheniUwajibikaji.
My take:-
Naona sasa...
By. M. M. Mwanakijiji
What if there were half revolutions? Well, in a nutshell there would be no revolutions! Our country is going through a critical point in its young history; a point of...
Kwa upeo wangu si tu hatuna furaha na amani mioyoni mwetu ila pia tumejawa na chuki na unyonge ambao wale ambao tumewapa dhamana ya kuongoza nchi yetu wamekuwa wakitupandikiza.
Hatuna rais,hatuna...
Source ITV
Filikunjombe amedai amemshangaa waziri mkuu kuwa amesema wananchi wamemwelewa vibaya kauli yake kuwa jumatatu angetoa uwamuzi wa mawaziri wake
Na anadai waziri mkuu kasema yeye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.