Hivi inakuaje viongozi wengi Tanganyika awe rais au mawaziri wakkiulizwa maswali hawajibu vilivyo.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi inakuaje viongozi wengi Tanganyika awe rais au mawaziri wakkiulizwa maswali hawajibu vilivyo..

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kahaluaJr, Apr 25, 2012.

 1. k

  kahaluaJr Member

  #1
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Watanganyika wenzangu inaakuwaje kiongozi yeyeto yule awe Rais au Mawaziri wakiulizwa maswali kama vile matatizo ya maji,umeme,mfumuko wa bei za vyakula nk, hawatoi majibu ya kueleweka mara utasikia wakisema ooh shida ya maji sio Tanganyika pekee au umeme na mfumuko wa bei ni kwa Dunia nzima sasa najiuliza hili la Dunia nzima linatoka wapi wakati tunataka kufahamu ya Tanganyika? na wao wanatupeleka kwa nchi za Dunia sasa hapa tuwaelewe vipi???Hebu toeni mchango wa kisomi au wenye kusaidia kujenga nchi yetu hata wakisoma waone jinsi gani wanaweza kujibu!!!
   
Loading...