Tundu Lissu na Gekul kutikisa Babati kesho

Qedalong

Member
Mar 16, 2012
30
10
Majembe ya CDM yatafanya mkutano mkubwa wa CHADEMA kesho mchana katika viwanja vya Kwaraa, na watazindua matawi ya chama na vijiwe vya wakereketwa. Pia watapokea kadi za watu maarufu wa CCM na kujiunga rasmi CHADEMA. Pia watakuwepo makamanda wa chama wafuatao: Rose Kamili, Mch Natse wa Karatu.
 
Kwaraa ndio wapi mkuu? . Magamba safari hii lazima yaangamizwe.
 
hata mimi huyu dada alinikuna sana alivyokata issu naona watanzania tuna akili sana magamba ndo wamekosea kutengeneza dira. ngoja wachomolewe maggogoni nao wawe watazamaji

ktk wabunge wa cdm waliofunika huyu dada Gekul ni mmoja wapo. Amejijengea heshima kubwa sana kwa wakazi wa manyara na babati, wenzetu waliwakilishwa vyema khs matatizo ya ardhi. Anauwezo wa kusimama 2015 na kushinda
 
Jamani ambao hatujajiandikisha tujiandikishe tuwahukumu CCM uchaguzi ujao. Ni aibu kuwa na serikali isiyowajibika kama walivyoonyewakija juzi na Pinda nae akauchuna na JK nae hivyo hivyo. Na ikiwezekana hao mawaziri wakija majimboni tuwazomee
 
Majembe ya CDM yatafanya mkutano mkubwa wa CHADEMA kesho mchana katika viwanja vya Kwaraa, na watazindua matawi ya chama na vijiwe vya wakereketwa. Pia watapokea kadi za watu maarufu wa CCM na kujiunga rasmi CHADEMA. Pia watakuwepo makamanda wa chama wafuatao: Rose Kamili, Mch Natse wa Karatu.

Natamani ningekuwa babati aisee. Du..nimetoka huko miaka 20 sasa..is my Home..Waambie waende Haraa, Bonga, Galapo, Maisaka, Mamire, Ng'wang'warey, Duru, Riroda, ukishuka mpaka Magugu, Kiongozi, Dareda kati na Mission, Bashnet, Madunga, quameyu, Nari, Masakta..Kadi ningechukua walah..Kuwa Visiwani nimekosea njia..NAJA
 
ktk wabunge wa cdm waliofunika huyu dada Gekul ni mmoja wapo. Amejijengea heshima kubwa sana kwa wakazi wa manyara na babati, wenzetu waliwakilishwa vyema khs matatizo ya ardhi. Anauwezo wa kusimama 2015 na kushinda

Nakubaliana na Mwana JF Narubongo juu ya uwezo wa Mheshimiwa Gekul na nampongeza sana.

Nikiwa Mwenyekiti Taifa wa kwanza na Muasisi wa CHADEMA, nachukua fursa hii kueleza kwamba alama ya Vidole Viwili "V" inayotumiwa na wana-CHADEMA ni alama ya Ushindi kimataifa yaani "Victory". Wanaoiona ni manati nadhani ni viongozi limbukeni, au mbu mbu mbu.
 
Back
Top Bottom