April 25, 2012
Masheikh wakiomba dua ya pamoja kumuomba Mungu ili kujenga nia moja katika mambo yote, baada ya kumalizika kikao hicho leo jioni kwenye ukumbi wa baraza la wawakilishi kati ya...
Wenzetu wa visiwani wako busy sana na mijadala, vikao, makongamano na warsha mbalimbali za kujiandaa na kuuvunja muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Sisi machogo (kama Wazenji wanavyo tuita) tuko...
Kwa taarifa za uhakika nilizopata Mtunza Hazina wa Wilaya ya Mbozi toka CCM anahamia CDM leo mchana, kila kitu kiko tayari imebaki kwenda kumkaribisha mbele ya wanachama mchana wa leo.
Dira ya Watanzania ilipotea na Nuru ya matumaini kuzamishwa kwenye matope mazito tangu mwaka 1985. Tangu wakati huo viongozi wa chama na serikali za CCM wamekuwa wakiinufaisha ardhi damu ya...
Waandishi Wetu
Toleo la236
25 Apr 2012
Mabadiliko ya mawaziri dhahiri
Pinda kupeleka ‘ripoti' zao za utetezi Ikulu
Pinda kupeleka ‘ripoti' zao za utetezi Ikulu
Ni kama ya...
Amesema mawaziri wabadhirifu wamepewa hadi Jumapili ijayo wawe wame kwisha chukua uamuzi wa kujiuzuru au la! Haku specify kama amri hiyo wametoa wabunge walio sign hoja ya kumng'oa PM au ni...
Wanajamvi, kesho ni siku ya maadhimisho ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na ninadhani maadhimisho yaha yatafanyika hapa hapa BANDARI SALAMA na Mkuu wetu wa nchi kama ilivyo ada anatazamiwa...
Nimeangalia taarifa ya habari ya ITV nimeshtushwa na taarifa ya shule moja huko Tarime kuwa kuna mwalimu wa kike aitwaye Eliza amekuwa akifanya biashara ya kuuza underskirt za kike, penseli na...
Kufuatia wananchi wa Arumeru kuhamasika na ahadi walizopewa na viongozi wao, na wananchi kuamua kujichukulia hatua mikononi mwao kama wanavyoona inafaa, na wawekezaji kutishia kujiondoa,
Swali...
Kuna kila dalili hoja ya kutokuwa na imani na waziri mkuu ikazimwa. Silaha pekee itakayobaki ni kwa wabunge wetu kutahamasisha zipatikane saini zaidi ya milioni moja kutoka kwa wananchi ili...
KATIBU wa Umoja wa Wanawake (UWT) wa Chama cha Mapinduzi (CCM) tawi la Byarushanje kata ya Katoke, wilayani Muleba, Kagera, Evelina Eladius (36), amejiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
Ukipita makao makuu ya chama cha wananchi - CUF hapa Buguruni, Dar es Salaam utaziona Bendera mbili zikipepea:
1. Bendera ya chama - CUF
2. Bendera ya Zanzibar.
Maswali
A) Vipi mbona hakuna...
Katika siku za hivi karibuni, kumekuwepo na wimbi kubwa la wanachama wa CCM kuhamia CHADEMA na kuna vigeregere vingi sana vimepigwa kuwapokea.
Naamini kuna wengi watakuja (wanachama wa CCM au...
Kwa haya yote yaliyotokea tangu jana sidhani kama kuna mwenye furaha ya kweli moyoni mwake leo, labda watu kama Maige, Nundu, Maige, Ngeleja na wengineo ambao waliponea tundu la simba siku ya...
Juzi nilibaki hoi pale Waziri wa Kilimo, Mh. Maghembe alipowashauri wakulima wa ndizi
Mkoani Kagera watumie dawa ya kuondoa madoa, JIK, katika kutibu ugonjwa unaoshambulia
migomba Mkoani Kagera...
Kama ni kuzindisha uchungu kwa serikali yangu basi hili limeongeza mara tatu zaidi ya ilivyokuwa awali. Katika Bunge lililopita Mh Magembe alikiri bila aibu kamba wawekezaji wa mashamba hapa...
Wabunge wa CCM waliomaliza kikao cha bunge hapo jana wamezuiliwa kuondoka na leo kutwa nzima wamekuwa kwenye kikao cha Wabunge wote wa CCM kuangalia jinsi gani wanavyoweza kudhibitiana kutokana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.