katika gazeti la guardian la leo tar 09 nov 2010 mtaalamu wa uchumi mmoja amepigia chapuo sera za chadema za kuwa na serikali ndogo na akatoa takwimu ya jinsi serikali ya jk ya muhula wa kwanza...
Kwa karibu mara tatu sasa ndani ya miezi hii minne tumeshuhudia mchezo fulani ambao kidogo umeanza kukera. Pinda anacheza peke yake na kila akimpatia Rais afunge goli, rais siyo tu hafungi goli...
Wabunge wa Mkoa wa Mara wameandikiwa ujumbe na wapiga kura wao kuwa wasiposaini karatasi ya kuwatosa Mafisadi basi wasijiite Wabunge.
Na hawana uhalali wa kurudi Majimboni,hiyo imepelekea...
Akihojiwa na Ch.10 amesema ameshapokea mapendekezo kutoka kwa wananchi mbali mbali na kwa sasa wanafanya mpango wa maandamano ya nchi nzima yatakayoshirikisha vyama vyote vya upinzani ili...
Wakuu,
Wakati kamati ya bunge inayohusika na masuala ya nishati na madini ikitoa ripoti yake bungeni nilishtushwa na suala moja ambalo linaniumiza kichwa mpaka sasa,Mwenyekiti wa kamati hiyo...
Kwa jinsi mambo yanavyo enda kombo,ni vyema chama cha mapinduzi kianze kujipanga kuwa chama imara cha upinzani.
Ushahidi u wazi,KANU ya kenya ilishindwa kuliona hili mapema na inawagharimu kwa...
Mji wa Tunduma jana ulichafuka baada ya Waziri mkuu aliyejiuzulu Edward Lowassa kulakiwa na umati mkubwa wa wafuasi wa CDM waliokuwa wamejipanga kando kando ya barabara.Wananchi hao walikuwa...
Laiti Kikwete na serikali yake ya CCM wangejua yaliyoko MIOYONI MWA WATANZANIA....... Enough is enough... TIIS IS THE TIME WE MUST DO SOMETHING TO LET THE WORLD KNOW THAT WE ARE FED-UP!! M4C...
Je umewahi kuisikia hii?
Makamba kielimu yuko duni, nasikia tetesi kuwa aliwahi kuwa mwalimu wa UPE, ambako sijui alihusishwa na tukio la ubakaji mtoto wa shule, kisha akadondokea Jeshi , ni...
Heshima mbele sana Great Thinkers:-
- Sio siri kwamba Tanzania, tunasumbuliwa sana na tatizo moja sugu kuliko yote nalo ni tatizo la Rushwa. Miaka nenda miaka rudi tunahangaika pale pale na...
Kighoma Ali Malima (RIP), enzi za utawala wa Mwinyi, alipobanwa na bunge na wabunge kuhusu misamaha ya kodi kwa waagiza wa bidhaa nje ya nchi alinena yafuatayo;
Kwa nini wabunge wa CCM...
HOTUBA YA UFUNGUZI WA SONGEA GLOBAL NETWORK (SGN) KWENYE UKUMBI WA AGOPAL SONGEA TAREHE 21/04/2012.
Mh. Mwenyekiti,
Mh. Katibu
Mh.Mhasibu
Ndugu
Wanamtandao,
Ndugu Wageni waalikwa,
Mabibi kwa...
Watanzania wenzangu,mimi ni mtanzania kama ninyi na moja kati ya watu ambao wanatafuta changes ndani ya taifa letu,vijana wenzangu sisi tupo wengi sana na wengi wetu tunatumiwa kama vibaraka,huu...
The Controller and Auditor General has noted improper payment of millions of shillings as sitting allowances to members of Parliament who were not attending House sessions.
Source: :: IPPMEDIA
CDM kimeshinda uchaguzi wa Mwenyekiti wa Kijiji cha Burifani, Kata ya Kyaka, wilaya ya Misenyi, ambacho ni makazi ya Mbunge wa Nkenge, Asumpter Mshana. Mgombea wa CDM, Deogratias Laurian, alipata...
Nawahimiza W.J Malecela na Nape Nnauye wahamiie CHADEMA huko ndiko watapata mawazo ya ukombozi wa kweli, kwani walipo CCM kumeshaoza na hawarekebishiki hata iweje, baba zao kuwa huko sio lazima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.