Kaka Pinda nisikilize

Johnsecond

JF-Expert Member
May 4, 2010
1,076
211
Kaka Pinda kama unajiona ni msafi ondoka huyu jamaa (JK) si wakufanya naye kazi. Utaingia kwenye mgogoro mkubwa sana na wananchi wako nakuomba sana mwachie nchi na wenzake. Ujue ukitaka kumlizishe unamlizisha yeye peke yake jamii yote unaiacha.

Ni hilo tu, wenzio wanajijua na wanagawana rasilimali zetu shauri yako. jiepushe na mashitaka yatakayofuata hata baada ya miaka kumi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom