Nape Nnauye: Madiwani wa CCM wanaoama wamekosa mvuto kwa wananchi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape Nnauye: Madiwani wa CCM wanaoama wamekosa mvuto kwa wananchi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kachanchabuseta, Apr 19, 2012.

 1. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #1
  Apr 19, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  "Wananchi wanahitaji watendaji wanaofanya kazi, ukikosa kuwajibika kwa wananchi watawajibisha" Mwisho wa kunukuu
  Nape ameyasema hayo baada ya diwani Mwingine Mwanza kukihama chama cha mapindizi

  Akiongea kwa kujiamini amesema CCM ni IMARA haitetereki na ITADUMU milele kama wewe ni mwanaCCM na unaongoza wananchi ukakosa uhadirifu watakuwajibisha ndo maana madiwani wa ARUSHA mwanza wanahama. Wangebaki CCM Rungu al chama lingewashukia


  Source:Wapo
   
 2. bemg

  bemg JF-Expert Member

  #2
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,706
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  amewaza na akawazika na kuishia kutoa kauli ya kujifariji.Upepo huu ni M4C ni hatari na bado
   
 3. i

  ibange JF-Expert Member

  #3
  Apr 19, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mamneno ya mfa maji, mfa maaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaji
   
 4. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #4
  Apr 19, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Hata NAPE naye amekosa mvuto kwa wanachama na wasio wanachama!
   
 5. STEIN

  STEIN JF-Expert Member

  #5
  Apr 19, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 1,764
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Mwambieni VUVUZELA atupe list ya madiwani waliokosa mvuto kabla ya wao kujiuzulu, maana hata mwakyembe atajiuzulu the siku ya pili atasema kapoteza mvuto.
   
 6. STEIN

  STEIN JF-Expert Member

  #6
  Apr 19, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 1,764
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Yeye kakosa mvuto kwa wananchi tangu agaragazwe na Hawa Ng'umbi.
   
 7. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #7
  Apr 19, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  pole sana
   
 8. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #8
  Apr 19, 2012
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,200
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280


  huyo kijana hana la maana kazi yake kukanda kiuno cha bata...achana nae
   
 9. Trustme

  Trustme JF-Expert Member

  #9
  Apr 19, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,172
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Nape hana tofauti na yule waziri ya habari wa Iraq enzi zileee za vita! Hana pa kujishika alichopaki nacho ni mdomo tu wa kujitetea
   
 10. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #10
  Apr 19, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 548
  Trophy Points: 280
  Aliishakuwa na mvuto lini?
   
 11. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #11
  Apr 19, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  mbona yeye hana mvuto na bado yuko ccm?
   
 12. n

  nketi JF-Expert Member

  #12
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 555
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Anasubiri nini kwenda ccj?.....unafiki tu ndio unawaponza wote walioko ccm lakini hawana dhamira ya kweli ya kutetea wanyonge......wengi wapo ccm kwa kuwa wanafaidi wizi mkubwa unaofanywa na ccm na serikali yake kila siku.......tunasubiri siku ya mazishi ya ccm tumechoka sanaaaaaaa
   
 13. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #13
  Apr 19, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hilo rungu mbona halijawashukia mapacha wawili waliobaki? Aache uongo wa kitoto.
   
 14. EasyFit

  EasyFit JF-Expert Member

  #14
  Apr 19, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 1,244
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Last kick of a dying donkey.
   
 15. Ngalikivembu

  Ngalikivembu JF-Expert Member

  #15
  Apr 19, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 1,908
  Likes Received: 355
  Trophy Points: 180
  Si sahihi.Nape anajitutumua tu.Aseme ni lini wamewahi kuwawajibisha hao wanaoona hawawajibiki kwa wananchi?Hao wanajitoa wenyewe baada ya kuona mambo yamekuwa si mambo.Atupe record yake kwa hivi karibuni ccm kuwawajibisha watendaji wabovu.Mbona hakusema maneno kama hayo kwa Rostam?Mbona Chenge kagoma na bado wameufyata kumchukulia hatua?Ana mdanganya nani?Anajifariji.
   
 16. Khakha

  Khakha JF-Expert Member

  #16
  Apr 19, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 2,983
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  anaitwa mohamed al sahaf. yuko dubai siku hizi kawa mtangazaji wa tv moja nchini humo.
   
 17. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #17
  Apr 19, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,446
  Likes Received: 5,833
  Trophy Points: 280
  Sasa wewe Katibu Mwenezi halafu wanakuzuiwa kuja kwenye kampeni(Ref IGUNGA na A.MASHARIKI)......Unaeneza nini sasa?
   
 18. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #18
  Apr 19, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Yeye pia yupo mbioni kuhamia CHADEMA. Stay tuned!
   
 19. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #19
  Apr 19, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Uchaguzi mdogo tunawarudisha hao hao tuone kama hawapendwi.
   
 20. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #20
  Apr 19, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,196
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Du hizi thread haziwafurahishi kabisa Ritz Rejao pamoja na Tume ya Katiba wote wapo kwenye jukwaa la mapenzi hapa hawafikishi mguu tena
   
Loading...