Jina gani linaifaa nchi yetu baada ya Muungano kuvunjika? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jina gani linaifaa nchi yetu baada ya Muungano kuvunjika?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Bujibuji, Apr 25, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Apr 25, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,328
  Likes Received: 22,172
  Trophy Points: 280
  Wenzetu wa visiwani wako busy sana na mijadala, vikao, makongamano na warsha mbalimbali za kujiandaa na kuuvunja muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
  Sisi machogo (kama Wazenji wanavyo tuita) tuko kimya, hatujui hitma yetu.
  Lakini kabla mambo hayajaharibika zaidi, hebu tutafakari je ni jina gani linafaa tuiite nchi yetu?
  Mi napendekeza nchi yetu iitwe AZANIA,hili ni jina letu la kale kabla hatujaitwa Tanganyika.
  Tanganyika ni jina lililoambatana na mabalaa mengi kwa taifa letu, utumwa, ukoloni, mikataba ya kilaghai, wizi wa rasilimali na uchafu wa kila aina.
  Nashauri tu, kuanza upya si ujinga, muungano ukitokomea, na sisi tuje kivingine.
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Apr 25, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Bujibuji au Valuvalu
   
 3. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #3
  Apr 25, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  We una rafudhi na maandishi ya kinzanzibari unataka utupangie jina Tanganyika ndo nchi yangu kama unayako nenda kaaiite huko kwenu
   
 4. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #4
  Apr 25, 2012
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Nchi ya wanafiki na wabinafsi, litafaaa sana japo lefu na halina mvuto but linawakilisha
   
 5. kichwat

  kichwat JF-Expert Member

  #5
  Apr 25, 2012
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 1,824
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Naam! Azania. Jina poa.
   
 6. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #6
  Apr 25, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  FISADISTAN(kama afghanistan,pakistan,uzbekistan,khazakistan,)
   
 7. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #7
  Apr 25, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Mwisho mtasema azam
   
 8. kuku dume

  kuku dume JF-Expert Member

  #8
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 415
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tanganyika itatujengea Umoja kwa sababu at least.
   
 9. samito

  samito JF-Expert Member

  #9
  Apr 25, 2012
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 621
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mbona mnapiga ramli? hauvunjiki muungano
   
 10. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #10
  Apr 25, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,547
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  wavivu , wezi , wanafiki , wachawi , wazembe , wapenda majungu kantrii
   
 11. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #11
  Apr 25, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,328
  Likes Received: 22,172
  Trophy Points: 280
  Wee ni mkare, kumbe Bujibuji ni Mzanzibari wa Makunduchi na asili yao ni Mchamba Wima, sikulijua hilo
   
 12. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #12
  Apr 25, 2012
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,816
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Tanganyika
   
 13. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #13
  Apr 25, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,328
  Likes Received: 22,172
  Trophy Points: 280
  Muungano umeshikwa na uzi wa utando wa buibui
   
 14. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #14
  Apr 25, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,765
  Likes Received: 6,087
  Trophy Points: 280
  Mie namuunga mkono yule Jenerali wa Kiisrael, Binyamin Netanyahu. Inafaa kuitwa "Banana Republic".
   
 15. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #15
  Apr 25, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,328
  Likes Received: 22,172
  Trophy Points: 280
  Nguo au nchi??
   
 16. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #16
  Apr 25, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Badala ya Tanganyika iitwe" NCHI YA YESU.
   
 17. P

  PakavuNateleza JF-Expert Member

  #17
  Apr 25, 2012
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 957
  Likes Received: 513
  Trophy Points: 180
  This is the nonsense topic of the month.
  Napita tuu kiroho safi
   
 18. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #18
  Apr 25, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,765
  Likes Received: 6,087
  Trophy Points: 280
  Mkuu huyo Yesu anamiliki Mbingu na jeshi lake lote; mbingu na mbingu za mbingu ni mali yake; nchi yote na vyote viijazavyo ni mali yake - sembuse Tanganyika?

  Halafu Habari Njema ni kwamba huyo Yesu hayuko kaburini kama mitume na manabii wengine ambao wala hawajui siku ya mwisho watafanywa nini wao na wafuasi wao. Karibu kwa Bwana Yesu upate amani ya roho na nafsi na tumaini jipya katika ulimwengu huu na ule ujao.
   
 19. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #19
  Apr 25, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,691
  Trophy Points: 280
  Huu mzaha kamfanyie mkweo, nchi ya Yesu ijae walafi namna hii?
   
 20. frema120

  frema120 JF-Expert Member

  #20
  Apr 25, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 5,103
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Mkapa...
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...