Wawekezaji wanalipa tsh 200 kwa mwaka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wawekezaji wanalipa tsh 200 kwa mwaka

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MESAYA, Apr 25, 2012.

 1. MESAYA

  MESAYA Member

  #1
  Apr 25, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 54
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 15
  Kama ni kuzindisha uchungu kwa serikali yangu basi hili limeongeza mara tatu zaidi ya ilivyokuwa awali. Katika Bunge lililopita Mh Magembe alikiri bila aibu kamba wawekezaji wa mashamba hapa Tanzania wanalipa Tsh 200 kwa mwaka. Lingine ni hili la sukari kwamba gharama za uzalishaji wa sukari hapa kwetu ni Tsh 1200 ila kinachosababisha bei kuwa juu ni toza sa serikali. sasa cha kujiuliza ni kwamba:
  1. Je watanzania wanashindwa kukodi mashamba haya na kutumia kuzalisha chakula cha kuwalisha watanzania au kuna mtu fulani anafaidika kupitia mradi huu?
  2. Je serikali haioni kwamba kuna ulazima wa kutoa ruzuku kwa viwanda vya sukari na kuondoa tozo ili bei ya zao hili lishuke mpaka bei ya kuzalishia ili watanzania waweze kumudu kuliko ilivyo sasa?
  3. Kwa mantiki hii si shairi kwamba serikali haina nia ya kuwasaidia watanzania na kuijenga Tanzania bali kujisaidia wao wenyewe na kujenga maslahi zao binafsi?
   
 2. E

  Eddy GEng Member

  #2
  Apr 25, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  1:wanaweza kukodi...hao wawekezaji ni jina tu wenye mashamba ni wakinamagh....mbeeee
  2:Haoni maana ikiona watashindwa kupeana dili za kusupply sukari
  3:uko sawa kabisa
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Apr 25, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,407
  Trophy Points: 280
  Tz shamba la bibi.
   
 4. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #4
  Apr 25, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,151
  Likes Received: 2,114
  Trophy Points: 280
  Kokoto bei yake inakaribiana na gold
   
 5. P

  PolisiB52 Member

  #5
  Apr 25, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nchi ya maziwa na asali, ahaaaaaaa
   
 6. hasan124

  hasan124 JF-Expert Member

  #6
  Apr 25, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Si wanadai Nchi ishauzwa hii.
   
 7. O

  Original JF-Expert Member

  #7
  Apr 25, 2012
  Joined: Mar 18, 2012
  Messages: 326
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Sh 200?.
   
Loading...