CCM walishana yamini Dodoma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM walishana yamini Dodoma

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Amiliki, Apr 24, 2012.

 1. Amiliki

  Amiliki JF-Expert Member

  #1
  Apr 24, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Wabunge wa CCM waliomaliza kikao cha bunge hapo jana wamezuiliwa kuondoka na leo kutwa nzima wamekuwa kwenye kikao cha Wabunge wote wa CCM kuangalia jinsi gani wanavyoweza kudhibitiana kutokana na hoja iliyofikishwa kwa Spika juu ya kumwondoa madarakani Waziri Mkuu kwa kura ya kutokuwa na imani nae hasa ingizingatiwa kwamba kura yenyewe itakuwa ni ya Siri.
  Tusubiri tuone kitakachojiri Ngoma bado nzito na Inogile.
   
 2. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #2
  Apr 24, 2012
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,947
  Likes Received: 2,093
  Trophy Points: 280
  Mimi nafikiri hata petition iwe kwa siri!!
   
 3. mbise victor

  mbise victor Member

  #3
  Apr 24, 2012
  Joined: Mar 15, 2012
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  maana ya kulishwa yamini na maelezo ulotoa no correlation ndugu.
   
 4. agatony8l

  agatony8l JF-Expert Member

  #4
  Apr 24, 2012
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 452
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Waache wafu wawazike wafu wenzao, sie twendeni kwa Wananchi. Peoples Powaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
   
 5. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #5
  Apr 24, 2012
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Nabado watalishana hadi super glu ila wajue hicho ni "KIMBUNGA" kisipo angusha nyumba kitaezua mabati.......

  hahahahahaha watu pipoooooooooo........................
   
 6. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #6
  Apr 24, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Kikwete na Mafisadi wenzake amekula yamini ya kyulinda Taifa letu, lakini yeye ndio mwizi no.1. Yamini sio sababu ya kuamini mtu anachosema
   
 7. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #7
  Apr 24, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  kama ni ya siri basi ni vyema wabunge wa magamba wafanye kama wanavyofanya wapiga kura. kula ccm kura kwa chadema
   
 8. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #8
  Apr 24, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 359
  Trophy Points: 180
  Hicho ndicho kitakachofanyika, we imagine kama sahihi za wazi zimewekwa na wabunge tuliokuwa hatutegemei kama Mkono itakuwaje kura ya siri.
   
 9. Bill

  Bill JF-Expert Member

  #9
  Apr 24, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 4,171
  Likes Received: 1,256
  Trophy Points: 280
  Hiyo itakuwa yamini ya pili kwani ya kwanza walishalishana siku nyingi ambayo ni KUIIBIA NCHI NA WAENYE NCHI BILA KUWAJIBISHANA.
   
 10. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #10
  Apr 24, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Kikwete & CHADEMA.jpg
  Kumbe naye yumo!
  Kumbe ndiyo maana anakiua chama chama chaooo!!!!!!

   
 11. m

  mwana wa africa JF-Expert Member

  #11
  Apr 24, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 490
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  nakumbuka kuna speech ya mr pesident aliwahi usema kuwa hatakubali cham akimfie mikononi mwake lakini nabashiri kifo cha ccm kumfia chumbani kwake.
   
 12. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #12
  Apr 24, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Sikio la kufa halisikii dawa,ukiua kwa upanga utakufa kwa upanga.
   
 13. Daniel Anderson

  Daniel Anderson JF-Expert Member

  #13
  Apr 24, 2012
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 879
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu nimecheka mpaka nimeamua kwa furaha ku log-in immmmediatelyyyyyyyy
   
 14. m

  matawi JF-Expert Member

  #14
  Apr 24, 2012
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 2,055
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  weka mshumaa kichwani uuwashe ubongo ulainike upate kuelewa mbona msg iko wazi, yamini ni makubaliano ya kuwa na urafiki maalumu baina ya mtu na mtu au familia zao. ccm wameamua kula yamini maana meli inadidimia
   
 15. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #15
  Apr 24, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hahahahhaaaaa safi sana mkuu
   
 16. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #16
  Apr 24, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Mkuu ukitaka kuifaidi Jf log in. Mkulu anaturahisishia ukombozi
   
 17. m

  matawi JF-Expert Member

  #17
  Apr 24, 2012
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 2,055
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  asante kwa zawadi kubwa ya kuimaliza cc...................m
   
 18. Said Bagaile

  Said Bagaile JF-Expert Member

  #18
  Apr 24, 2012
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 686
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tatizo lako ni uchu tu wa hela za Nape, wewe umetoka Kishumundu juzi tu umekimbilia ukibaraka hata kiswahili hujakijua vizuri. Yamini ni makubaliano ambayo hatakiwi mtu aliyeyaingia kuyakiuka kwa namna yoyote, iwe hadharani au sirini otherwise lazima atapatwa na mabaya kama atayakiuka. (Kapa Nguma!)
   
 19. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #19
  Apr 24, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 359
  Trophy Points: 180
  Hahahaa ameanza mazoezi ya peoples power inabidi aanze na alama hii ya V ile ya ngumi ameshaizoea.
   
 20. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #20
  Apr 24, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Daaaah Mungi bana yaani umechakachua mpaka picha ya rais wako!!!!! Nimekukubali,
   
Loading...