Matatizo sugu ya watanzania haya hapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matatizo sugu ya watanzania haya hapa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by TEMILUGODA, Apr 25, 2012.

 1. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #1
  Apr 25, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,367
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Kwa mtazamo wangu nimegundua matatizo yetu sisi watanzania ni haya yafuatayo; 1.UZEMBE 2.UBINAFSI 3.UCHOYO 4.WIVU 5.MAJUNGU 6.FITNA 7.ULAFI 8.WOGA 9.UNAFIKI 10.UROHO Ndugu mwaJF UNAWEZA KUONGEZA MATATIZO TULIYO nayo KWA HAPO JUU.Tukumbuke madudu yanayotoke kila mahali katika sekta mbalimbali chanzo ni MATATIZO NILIYO yataja hapo juu
   
 2. I

  Imurumunyungu Senior Member

  #2
  Apr 25, 2012
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 108
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Watu kama wewe pia ni tatizo kubwa saana kuliko hata hayo uliyoyataja hapo juu.
   
 3. B

  Bi. Mkora JF-Expert Member

  #3
  Apr 25, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 375
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Uvivu pia
   
 4. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #4
  Apr 25, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,367
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Pia wewe kwani hata unavyo comment bila kutoa matatizo ya unaye mlenga yanaashiria uvivu na majungu ni matatizo uliyo nayo wewe.JIREKEBISHE MKUU
   
Loading...