Tarime: walimu wafanya biashara ya kuuza underwear shuleni, kuwalazimisha wanafunzi kununua | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tarime: walimu wafanya biashara ya kuuza underwear shuleni, kuwalazimisha wanafunzi kununua

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by BASHADA, Apr 25, 2012.

 1. BASHADA

  BASHADA JF-Expert Member

  #1
  Apr 25, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 487
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Nimeangalia taarifa ya habari ya ITV nimeshtushwa na taarifa ya shule moja huko Tarime kuwa kuna mwalimu wa kike aitwaye Eliza amekuwa akifanya biashara ya kuuza underskirt za kike, penseli na ufutio kwa wanafunzi kwa bei ya juu na wanafunzi. Amekuwa akiwafunua wanafunzi hao kukagua kama wana underskirt na kama hana mwanafunzi huyo hurudishwa nyumbani. My take: hali ya waalimu imekuwa mbaya kiasi hiki kiuchumi? Au ni matokeo ya serikali kuwatelekeza walimu? Tujadili wadau. Source: itv
   
 2. K

  KONGOTO Member

  #2
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 48
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  afadhali yake mwenye huruma na kujitaftia riziki ya haki kuliko kuwa fisadi papa
   
Loading...