Kwa mujibu wa Mh.Zitto katika kipindi cha kume pambazuka ITV leo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa mujibu wa Mh.Zitto katika kipindi cha kume pambazuka ITV leo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Chaimaharage, Apr 25, 2012.

 1. Chaimaharage

  Chaimaharage JF-Expert Member

  #1
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 211
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Amesema mawaziri wabadhirifu wamepewa hadi Jumapili ijayo wawe wame kwisha chukua uamuzi wa kujiuzuru au la! Haku specify kama amri hiyo wametoa wabunge walio sign hoja ya kumng'oa PM au ni wabunge wote wenye dhamira hiyo.

  Wasipo fanya hivyo baada ya siku 14 wana mwambia speaker aitishe Bunge la dharura kujadili hoja hiyo kwa mujibu wa sheria na kanuni.

  Sasa tatizo mna mjua huyu speaker wetu "PANDIKIZI" ataruhusu hoja hiyo?sababu ni bingwa wa kupindisha sheria.Kumbuka yaliyo mkuta Mh.Sitta!
   
 2. M

  Mohamed Ngwasu JF-Expert Member

  #2
  Apr 25, 2012
  Joined: May 11, 2011
  Messages: 304
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  lazima watoke tupa kuleeeeee Peoples power itawaadhibu
   
 3. S

  Silent Burner Member

  #3
  Apr 25, 2012
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huu nao ni upepo, utapita.
   
 4. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #4
  Apr 25, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,828
  Trophy Points: 280
  Kwa Tanzania, this will never be anyway!!!!
   
 5. TUJITEGEMEE

  TUJITEGEMEE JF-Expert Member

  #5
  Apr 25, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 10,786
  Likes Received: 2,683
  Trophy Points: 280
  Sizitaki kura zenu .....

  Za mbayuwayu changanya na za kwako

  vielehele....
   
 6. M

  Mkodoleaji JF-Expert Member

  #6
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 27, 2008
  Messages: 454
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa nini wasipige kura ya kutokuwa na imani na Raisi maana ndiyo aliyewateua? Hivi wakati ule akina Prof Mbilinyi, Mporogomyi na baadaye Idd Simba bunge lilifanyaje mpaka wakajiuzulu? Hiii sarakasi ya sasa hivi kwamba bunge halina uwezo wa kudeal na mawaziri ina lengo gani?
   
 7. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #7
  Apr 25, 2012
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Tanzania inaitaji viongozi kama Zitto Kabwe.
   
 8. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #8
  Apr 25, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,539
  Likes Received: 10,461
  Trophy Points: 280
  msije kushituka kuambiwa wabunge wanaong'ang'ania kura kwamba ni wa haini.?
   
 9. Maishamapya

  Maishamapya JF-Expert Member

  #9
  Apr 25, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,280
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Wamepewa hadi jumapili ijayo kwa mara nyingine? Si mwisho ilikuwa ni jumapili iliyopita na ndio maana hoja ikawasilishwa kwa spika juzi jumatatu kwa vile hawakujiuzulu? Naomba msaada maana kamanda wangu Zitto hapa ananichanganya kama ndivyo alivyosema
   
 10. MAKULILO

  MAKULILO Member

  #10
  Apr 25, 2012
  Joined: May 30, 2010
  Messages: 84
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 15
  Mwanakijiji ameweka hii (Zitto ndani ya ITV Kumekucha) kwenye youtube, sikiliza/ona  MAKULILO
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. W

  WILSON MWIJAGE JF-Expert Member

  #11
  Apr 25, 2012
  Joined: May 30, 2011
  Messages: 276
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ndugu,

  Kazi njema Zitto
   
 12. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #12
  Apr 25, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  No comment becouse of you avatar
  si unajua mi pacha Mugilu Nchemba
   
 13. hasan124

  hasan124 JF-Expert Member

  #13
  Apr 25, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ni jaribio zuri japo hata yeye Zito Anajua halitofanikiwa......hongera kwako MHE. Zito aluta continue!
   
 14. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #14
  Apr 25, 2012
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Mzee wa Nondo kumbe upo JF? Safi sana maana nilikuwa nakuona tu kwa Michuzi na hapa nilikuwa bado sijakuona ingawa naona upo siku nyingi.

  Asante kwa link na pamoja sana.

   
 15. G

  GRILL Senior Member

  #15
  Apr 25, 2012
  Joined: Nov 30, 2007
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Sio utapita, mbona ulishapita na kusahaulika tafuteni mengine
   
 16. G

  GRILL Senior Member

  #16
  Apr 25, 2012
  Joined: Nov 30, 2007
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ndio unagundua hilo leo?
   
 17. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #17
  Apr 25, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Ultimatum ya kwanza ilikuwa ni ili wasipeleke hoja kwa spika. Ilipopita bila wao kujiuzulu wamepeleka tamko. Sasa kama kujiuzulu kwao kutatokea kabla ya J2 basi kutakuwa hakuna haja ya bunge la dharura. Vinginevyo ndio hiyo ultimatum ya pili itachukua nafasi. Kumbuka wako ndani ya siku 14 zilizotolewa na katiba.
   
 18. Maishamapya

  Maishamapya JF-Expert Member

  #18
  Apr 25, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,280
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Hiyo ultimatum ya pili haina sababu. Hata hivyo nimeisikiliza hiyo hotuba sikusikia akitoa hiyo ultimatum ya pili badala yake alikuwa anazungumzia process ya ile ya kwanza.
   
 19. M

  Mambuchi Member

  #19
  Apr 25, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi wewe una akili sawasawa? Watu tunataka mabadiliko wewe unasapoti hao mafisadi. Wewe ni mmoja wao nini?
   
 20. m

  mattzakh Member

  #20
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 21, 2012
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi sina imani kabisa na Zitto. Kabla ya hili alishaibua mengi huko nyuma na yaka vuma sana. Kama ishu ya mikataba mibovu ya madini na Richmond.
  Mikataba mibovu mimi sijui hata imeishia wapi!!? Richmond mpaka mwisho tanesco(serikali) ndio ilitakiwa wailipe!!!
  Watanzania huwa wanapenda kushabikia kitu ambacho kinavuma kwa wakati huo lakini kufuatilia mpaka mwisho kieleweke hatuna hiyo ndo mana rais akasema huo ni NI UPEPO TU.

  Kwa hii ishu ya mawaziri 8 ilikuwa ni kitu kizuri sana kwa manufaa ya umma sa sijui kwanini alisubiri mpaka bunge lifike karibu na mwisho ndio aibue hoja. . .honestly sina imani kabisa na Zitto!
   
Loading...