Kilimo kwanza na Matumizi ya JIK kudhibiti magonjwa ya mazao! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kilimo kwanza na Matumizi ya JIK kudhibiti magonjwa ya mazao!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ndyoko, Apr 25, 2012.

 1. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #1
  Apr 25, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Juzi nilibaki hoi pale Waziri wa Kilimo, Mh. Maghembe alipowashauri wakulima wa ndizi
  Mkoani Kagera watumie dawa ya kuondoa madoa, JIK, katika kutibu ugonjwa unaoshambulia
  migomba Mkoani Kagera.

  Binafsi nikabaki hoi na mdomo wazi. Sina uhakika kama hii ni moja ya dawa ambayo imependekezwa
  kwa ajili ya kudhibiti huo ugonjwa. Kama mtindo wenyewe ndo huu wa trial and error katika
  kutatua matatizo ya wananchi, nadhani hata wale wanaotumia vyandarua vya mbu kuvulia samaki
  maana kwao ni njia moja ya kujikimu na maisha!

  Kweli kusoma pekee hakuna maana kama mtu hujaelimika na hiyo shule uliyonayo. Na ktk hili,
  pamoja nausomi wake, Waziri Maghembe bado hajaelimika kabisa na hana msaada kwa
  wakulima masikini wa nchi hii!
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Apr 25, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  J4 ni janga la taifa
   
 3. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #3
  Apr 25, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Labda ndio wameshauriwa(wizara) na wataalamu wetu wa pale SUA.
   
 4. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #4
  Apr 25, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Na amedai kuwa hiyo JIK, dawa ya kuondoa madoa, ni very effective na wanampango wa kupeleka wakulima wakajifunze
   
 5. GEMBESON

  GEMBESON JF-Expert Member

  #5
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 256
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  JIK, kwa jina lingine la kitaalam inaitwa Hypochlorite solution. Ni kweli inaweza kuua Bacteria, mbona inatumika hata Hospitalini kama ant- septic kwa ajili kuua hao wadudu?. Ni dhahiri kuwa hawa wataalam wetu wa Kilimo ndio walioshauri matumizi haya ya JIK. Kitu msichokijua mnakishadidiaaaaaaa! hadi mapovu yanawatoka mdomoni.
   
Loading...