Rais Jakaya Kikwete LIVE akifungua Jengo la Ofisi ya CAG - Morogoro - Sikiliza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais Jakaya Kikwete LIVE akifungua Jengo la Ofisi ya CAG - Morogoro - Sikiliza

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Arusha Mambo, Apr 25, 2012.

 1. Arusha Mambo

  Arusha Mambo Senior Member

  #1
  Apr 25, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 174
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
 2. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #2
  Apr 25, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Nna kam0bitel kaka
   
 3. Arusha Mambo

  Arusha Mambo Senior Member

  #3
  Apr 25, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 174
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mh. Rais: Nampongeza Utto, Kazi yake Nzuri, asimamie pia Ubora na thamani ya huduma kwa fedha inayolipwa.
   
 4. Arusha Mambo

  Arusha Mambo Senior Member

  #4
  Apr 25, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 174
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mh. Rais, Pesa zinazotolewa zisitumike kunenepesha matumbo ya maafisa wa umma, fanyeni kazi hiyo bila kuoneana haya kama mtu mwizi achukuliwe hatua mara moja, hata kama mm sikuwaambia msimuogope mtu yoyote hata kama ni waziri, msiogope mmetamkwa kwenye katiba mpo kihalali.
   
 5. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #5
  Apr 25, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  Mkuu hiyo sio LIVE, ni marudio!!
   
 6. Arusha Mambo

  Arusha Mambo Senior Member

  #6
  Apr 25, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 174
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mh. Rais: Nawapongeza kwa kuchaguliwa kuingia katika Bodi ya umoja wa Mataifa ya ukaguzi, haikuwa rahisi tulijaribu mara ya kwanza tukashindwa lakini sasa tumefanikiwa, tulikutanguliza wewe Utto kwa sifa zako, ubora wa kazi yako ndio maana wakakuchagua.
   
 7. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #7
  Apr 25, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,015
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Anasema nini
   
 8. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #8
  Apr 25, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,015
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Arusha mambo mbona inapiga miziki tu!!
   
 9. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #9
  Apr 25, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,547
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  What a nerve anayo huyu Kikwete! Really!
   
 10. Arusha Mambo

  Arusha Mambo Senior Member

  #10
  Apr 25, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 174
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mh. Rais, Serekali haitawaingilia katika shughuli zenu, kwa sasa anasikika moja kwa moja katika tovuti ya www.arushamambo.com ikiwa ni kipindi maamum toka kurugenzi ya Rais kipindi ambacho kinaelezea ufunguzi wa jengo la Ofisi ya Mdhibiti Mkuu wa hesabu za Serekali ambapo pia katika jengo hili kutakuwepo na Chuo cha Maafisa hao.

  Baada ya kipindi hiki Sa12.30 tutasikiliza Taarifa ya Habari kutoka Uganda kwa lugha ya Kiswahili.
   
 11. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #11
  Apr 25, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,015
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  hamna speech yoyote, kuserebuka tu
   
 12. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #12
  Apr 25, 2012
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Hiyo habari ni ya siku nyingi Bradha.
   
 13. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #13
  Apr 25, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,015
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  OOhh!
  kumbe
   
 14. sun wu

  sun wu JF-Expert Member

  #14
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 0
  What going on here, habari ni ya leo, ya siku nyingi au kuna miziki..?
  mbona tunachanganyana wenyewe kwa wenyewe wakuu ?,
   
Loading...