Vurugu za Arumeru: Tunasubiri tamko la CHADEMA

masopakyindi

Platinum Member
Jul 5, 2011
17,857
13,140
Kufuatia wananchi wa Arumeru kuhamasika na ahadi walizopewa na viongozi wao, na wananchi kuamua kujichukulia hatua mikononi mwao kama wanavyoona inafaa, na wawekezaji kutishia kujiondoa,

Swali: Lini CHADEMA itatoa msimamo wake juu ya mgogoro huu, ukitilia maanani kuwa sasa mbunge wa Arumeru nia wa chama hiki?
 
Magwanda wanajua kuwasha moto wa kijinga. Hata kama ni kinyume cha sheria na unaumiza uchumi. Baada ya hapo wataendelea kusema hali mbaya ya uchumi....bla-bla-bla wakati ni wenyewe wenye kuchochea kuwafukuza wawekezaji. Uchumi bila uwekezaji ni bure.

Nashukuru Mungu mimi si Magwanda.
 
Ungeuliza kwanza Tamko la CCM na serikali ambao wana
  1. RC - Arusha
  2. DC-Arumeru
  3. Meya/Halmashauri - Arumeru
  4. Polisi - Arumeru
  5. TISS - Arumeru
  6. JWTZ - Arumeru

Inakuwaje unauliza chama chenye mtu mmoja kati ya mamia?. CDM haina serikali Arumeru, so ni vizuri ukauliza kauli za serikali kwanza. Maana kazi ya CDM Arumeru ni kuwakilisha wananchi bungeni na si zaidi ya hilo. Kwa hiyo tusubiri tusikie mbunge wa Arumeru ataongea nini bungeni?
 
Inakuwaje unauliza chama chenye mtu mmoja kati ya mamia?.
Kwa hiyo unataka kumaanisha kwamba Nassari hawezi kuleta mabadiliko Arumeru kwa sababu yuko Peke yake? Kama tafsiri ni hiyo ni kwa nini basi CHADEMA ilikuwa inasema akichaguliwa Nassari itakuwa ni UKOMBOZI kwa wana Arumeru?
 
Kufuatia wananchi wa Arumeru kuhamasika na ahadi walizopewa na viongozi wao, na wananchi kuamua kujichukulia hatua mikononi mwao kama wanavyoona inafaa, na wawekezaji kutishia kujiondoa,

Swali: Lini CHADEMA itatoa msimamo wake juu ya mgogoro huu, ukitilia maanani kuwa sasa mbunge wa Arumeru nia wa chama hiki?

Matokeo ya kuvuta ndumu haya CCM bado imara hao wanandumu wote washakamatwa
 
Magwanda wanajua kuwasha moto wa kijinga. Hata kama ni kinyume cha sheria na unaumiza uchumi. Baada ya hapo wataendelea kusema hali mbaya ya uchumi....bla-bla-bla wakati ni wenyewe wenye kuchochea kuwafukuza wawekezaji. Uchumi bila uwekezaji ni bure.

Nashukuru Mungu mimi si Magwanda.
Ama kweli utumwa unarudi Tanzania kwa kasi.
 
Magwanda wanajua kuwasha moto wa kijinga. Hata kama ni kinyume cha sheria na unaumiza uchumi. Baada ya hapo wataendelea kusema hali mbaya ya uchumi....bla-bla-bla wakati ni wenyewe wenye kuchochea kuwafukuza wawekezaji. Uchumi bila uwekezaji ni bure.

Nashukuru Mungu mimi si Magwanda.
uwekezaji umeweza vipi kutatua matatizo ya mlala hoi?huo uwekezaji umetufanyia nini zaidi ya kuchukua ardhi,madini,wanyama na resources nyingine huku wakiwaacha wananchi wakiteseka.
huwezi kuondoa umasikini kwa kumtegemea muwekezaji tena muwekezaji mwenyewe ni mzungu!!!!
 
sio kazi ya Chadema hiyo kazi yao ni kuwaonyesha serikali yao inavyoiba then wananchi wanaamua wafanyaje. okey?
 
kimsingi mambo yanayoendelea nchini yanasababishwa na kitu kinachoitwa NGUVU YA UMMA!chadema imeplay role ndogo tu ya kuspark moto wa nguvu ya umma.
 
Kufuatia wananchi wa Arumeru kuhamasika na ahadi walizopewa na viongozi wao, na wananchi kuamua kujichukulia hatua mikononi mwao kama wanavyoona inafaa, na wawekezaji kutishia kujiondoa,

Swali: Lini CHADEMA itatoa msimamo wake juu ya mgogoro huu, ukitilia maanani kuwa sasa mbunge wa Arumeru nia wa chama hiki?
Nafikiri hujui kazi na majukumu ya mbunge na chama, kazi ya Nassari si kutuliza vurugu, kama unaweza waammbie serikali iwaazime CDM Wizara ya mambo ya ndani hata kwa wiki moja halafu ndipo uje utoe lawama zako.

Nassari hata hajamaliza wiki nafikiri hata kaunda suti yake ya kuapia bado inanukia upya unauliza amefanya nini why shouldn't you ask MPs who have been in bunge for decades what have they done. Leave Nassari for about 3 years then come with your judgements but not today buddy.
 
Utakuta wanaoanzisha Fujo ni wale waliochagua Magamba sasa Wanatumwa Kufanya Hivyo!! CDM ni chama Makini, Wanajua Hawawezi kudai Haki kwa Kutumia Fujo!! Ila nawashauri wenye Serekali YAO waangalie Hili Tatizo na kulifanyia Kazi Mapema kwani CDM Hawamiliki Wizara ya Ardhi!!
 
Serikali iliahidi kutoshirikia na mbunge wa upinzani, vigogo wote, kuanzia mawaziri, rc, dc, rpc, ocd wameenda likizo. Acha wananchi wachukue ardhi yao
 
Magwanda wanajua kuwasha moto wa kijinga. Hata kama ni kinyume cha sheria na unaumiza uchumi. Baada ya hapo wataendelea kusema hali mbaya ya uchumi....bla-bla-bla wakati ni wenyewe wenye kuchochea kuwafukuza wawekezaji. Uchumi bila uwekezaji ni bure.

Nashukuru Mungu mimi si Magwanda.

tatizo sio lako bali ni la ile shule ya kata ulosoma na kumalizia, zas y unaleta mawazo ya kibangi bangi humu JF.
Damu ya bwana Yesu ikutakase kwa ulopokaji wako. Amen
 
Back
Top Bottom