Bendera za Makao makuu - CUF | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bendera za Makao makuu - CUF

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Lengeri, Apr 24, 2012.

 1. Lengeri

  Lengeri Senior Member

  #1
  Apr 24, 2012
  Joined: Jul 3, 2009
  Messages: 180
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ukipita makao makuu ya chama cha wananchi - CUF hapa Buguruni, Dar es Salaam utaziona Bendera mbili zikipepea:
  1. Bendera ya chama - CUF
  2. Bendera ya Zanzibar.

  Maswali
  A) Vipi mbona hakuna bendera ya Tanganyika/Tanzania?

  B) Jee kuna umuhimu gani wa kupeperusha Bendera ya Zanzibar kwenye ardhi ya Tanganyika?

  Lengeri.
   
 2. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #2
  Apr 24, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  cuf ilianzishwa kwa madhumuni ya kuwatetea wazanzibar na siyo watanganyika-by ismail jussa ladhu
   
 3. m

  mkigoma JF-Expert Member

  #3
  Apr 24, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 1,182
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  bendera ya zanzibar ni kwa kwa kuwa cuf ina makamu wa pili wa Rais maalim seif sharif hamad
   
 4. Lengeri

  Lengeri Senior Member

  #4
  Apr 25, 2012
  Joined: Jul 3, 2009
  Messages: 180
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hiyo si hoja. Mbona CCM wao wana Rais, makamu wa rais mtendaji huko visiwani lakin hawapeperushi bendera ya Znz pale Lumumba au Chamwino.
   
 5. sun wu

  sun wu JF-Expert Member

  #5
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 0
  Hivi kuna bendera ya Tanganyika (bado inatumika ?)
   
 6. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #6
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Muulize mtikila
   
 7. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #7
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mtikila alikuwa Genius watu wakamuona chizi. Hawa wazanzibar watatuchokoa chokoa mpaka basi!!
   
 8. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #8
  Apr 25, 2012
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,081
  Likes Received: 4,029
  Trophy Points: 280
  mi nathani hii huwekwa pale Maalim Seif anapodhuru hiyo ofisi ki-protokali
   
 9. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #9
  Apr 25, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  Ile dhoruba ya jana ilipita salama huko Zenj??
   
 10. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #10
  Apr 25, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  [​IMG]
  Hiyo hapo, nenda kwa fundi uitengeneze, Lakini jamaa wanahasira nayo hiyo. Sijui.
   
 11. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #11
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,381
  Likes Received: 3,341
  Trophy Points: 280
  Prof Lipumba pamoja na Uprofesa wake amekuwa kama msukule wa Maalim Shariff na kaf yake!
   
 12. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #12
  Apr 25, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hili swali lipumba angelijibu ingekuwa fresh sana maana wote mnafanya kubashiri
   
 13. M

  MIRIJA IKATWE Senior Member

  #13
  Apr 25, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 136
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kazi kweli kweli. Mbona jibu rahisi Cuf si CCM B serikali ya SMZ inaongozwa na CCm wanaogopa kuwapa Bendera ya ccmenpale ambayo ni ccme B
   
 14. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #14
  Apr 25, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  CUF ni wabia wa uongozi wa Serikali Ya Mapinduzi Zanzibar.
   
 15. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #15
  Apr 25, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  [​IMG]

  +[​IMG]
   
 16. Endeleaaa

  Endeleaaa JF-Expert Member

  #16
  Apr 25, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,229
  Likes Received: 320
  Trophy Points: 180
  Hiyo bendera ya Zanzibar inamaanisha Muungano ni sehemu za Zanzibar?
   
 17. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #17
  Apr 25, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Kwa hakika hiyo ni dhihaka kubwa. Chama cha siasa hakiwezi kuvunja sheria kiasi hicho. Wapeperushe bendera hiyo huko visiwani siyo Buguruni
   
Loading...