Kesho April 26 ni Sikukuu ya Maadhimisho ya Muungano | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kesho April 26 ni Sikukuu ya Maadhimisho ya Muungano

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Wabogojo, Apr 25, 2012.

 1. Wabogojo

  Wabogojo JF-Expert Member

  #1
  Apr 25, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 355
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Wanajamvi, kesho ni siku ya maadhimisho ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na ninadhani maadhimisho yaha yatafanyika hapa hapa BANDARI SALAMA na Mkuu wetu wa nchi kama ilivyo ada anatazamiwa kuwa ndiye atakaye kuwa MGENI RASMI. Ninatabiri kuwa hapo kesho Mkulu wetu atatoka na kile ambacho watz hatutaamini na kuachwa vinywa wazi huku wengi wakifurahi na baadhi kusononeka.

  Je wewe unategemea ataongea nini katika sherehe hizi wakati wananchi tumeachwa solemba kwenye ombwe la ufisadi uliokithiri wa vilanja wetu, CCM ikilegalega wakati CDM ikipaa kwa kasi ya Chopa, wengine wakiupinga Muungano huu kwa nguvu zao zote na lingine kubwa zaidi ni hili la mchakato wa kupata KATIBA MPYA ya JMT huku BABA akikataza watoto wake kuujadili muungano kwenye huo mchakato.

  Nawasilisha ................
   
 2. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #2
  Apr 25, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Ujumbe mkubwa utakua tusijadili Muungano.
   
 3. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #3
  Apr 25, 2012
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  Hizi sherehe zinatafuna tu pesa za walipa kodi na tusishangae wakija kusema imetumika bilion 2 na mapointi kibao.Kwa nini tarehe hizi za kuungana kwa Tanganyika na Zanzibar zisibaki ktk kumbukumbu(historia)tukaachana na sherehe zisizokuwa na umuhimu wowote?.Wananchi hawana maji,umeme,zahanati,hospitali zenye kukidhi haja,elimu yetu ni mbovu matatizo kibao halafu nchi inakuja kutuambia sherehe za muungano!!?.Mawaziri wamechukua chao na wataendelea kuchukua chao hakuna Wa kuwasemesha Serikali nayo inazidi kutafuna tu,waendelee kutafuna tu ipo siku tutawang'oa meno.
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  HIVI DAWA YA WALE WANANCHI WA ZANZIBAR wanaoandamana kupinga muungano ni kuwatimua kwa mabomu ya gesi?
   
 5. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #5
  Apr 25, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Tundu Lissu yuko wapi? Aje atusaidie hapa
   
 6. omujubi

  omujubi JF-Expert Member

  #6
  Apr 25, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 4,144
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  nao ni upepo tu, utapita
   
 7. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #7
  Apr 25, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mara nyingi huazimishwa bila hotuba ya yoyote ile,but Dr Jk anapaswa kusema kitu hasa uongozi na matakwa ya wazenji kuhusu muungano,kiukweli nashangazwa kwenye kura ya maoni ya kuanzisha vyama vingi maoni ya wachache yalishinda ya wengi lakini kwenye hili la muungano maoni ya wachache hayapewi nafasi.
   
 8. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #8
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,380
  Likes Received: 3,339
  Trophy Points: 280
  To hell with muungano
   
 9. everybody

  everybody JF-Expert Member

  #9
  Apr 25, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Umekosea bana, kesho ni birthday yangu
   
 10. Gracious

  Gracious JF-Expert Member

  #10
  Apr 25, 2012
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 1,750
  Likes Received: 343
  Trophy Points: 180
  It will be my birthday
   
 11. G

  Geofrey Kimaro Member

  #11
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbona sioni matunda ya 48yrs ya huu muungano sababu haswa ya Muungano ni ili nini? Au kuwa watu wa Zanzibar Umeme kisha kuwagandamiza?
   
 12. M

  Mnyonge Namba1 JF-Expert Member

  #12
  Apr 25, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 402
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Muungano kwa manufaa ya ccm tu,sio watz wote
   
 13. HOPECOMFORT

  HOPECOMFORT JF-Expert Member

  #13
  Apr 25, 2012
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 2,784
  Likes Received: 3,519
  Trophy Points: 280
  Kwa jinsi alivyo na utamaduni wa kutoa majibu sehemu isiyo rasmi sintashangaa kesho akatoa hatma ya hao tunao wasubiria kwa hamu wajiuzulu(mawaziri wezi)
   
 14. P

  PETER NYAMWERO Member

  #14
  Apr 25, 2012
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mnamo mwaka 2011 nilikuwa nikisikia kauli za baadhi ya viongozi wakidanganya umma kwamba watanzania tunasherehekea miaka 50 ya uhuru wa Tanzania huu ulikuwa uongo kwan kipindi hicho ndio tulikuwa tunatimiza miaka 50 ya uhuru wa Tanganyika. Hivyo siku ya kesho tunatimiza miaka 48 ya Tanzania. Tanzania ilipatikana mnamo 6 April 1964 baada ya muungano wa Tanganyika (1961) na Zanzibar (1964 Nichukue nafasi hii kuwapongeza wanaounga mkono muungano kufikisha miaka 48 na kuwapa pole wanaonungunika kuhusu Muunga
   
 15. s

  saidiamri New Member

  #15
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Siku ya kesho inatupa funzo gani kwenye new katiba
   
Loading...