Kigogo mwingine wa CCM ahamia CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kigogo mwingine wa CCM ahamia CHADEMA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Noboka, Apr 25, 2012.

 1. N

  Noboka JF-Expert Member

  #1
  Apr 25, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 1,144
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  Kwa taarifa za uhakika nilizopata Mtunza Hazina wa Wilaya ya Mbozi toka CCM anahamia CDM leo mchana, kila kitu kiko tayari imebaki kwenda kumkaribisha mbele ya wanachama mchana wa leo.
   
 2. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #2
  Apr 25, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Karibu sana.
   
 3. commited

  commited JF-Expert Member

  #3
  Apr 25, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 1,617
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135


  tunamkaribisha sana.. lakini akubali kuwa mwanachama wa kawaida kwanza... CDM 2015
   
 4. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #4
  Apr 25, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Jamani who is "Kigogo" kwenye siasa? It seems everyone it titled Kigogo when defecting from Magamba
   
 5. BASHADA

  BASHADA JF-Expert Member

  #5
  Apr 25, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 487
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Nape come out!!!! speak out!!! Naye alikuwa mzigo kwa chama? Alishaambiwa ajivue gamba? Ni fisadi?.....
   
 6. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #6
  Apr 25, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Safi sana kwa kutoka shimoni.
   
 7. T

  Tiger One JF-Expert Member

  #7
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 569
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Ritz uko wapi? Kesi nyingine hiyo katoroka na hela. Na hivi ni mweka hazina wa chama? Utasikia.
   
 8. M

  MIRIJA IKATWE Senior Member

  #8
  Apr 25, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 136
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Karibu sana uwateteteee wananchi wako sio kuwa watetetea walanchi wako
   
 9. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #9
  Apr 25, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,796
  Likes Received: 36,821
  Trophy Points: 280
  huu mnaoita upepo unazoa magogo mpaka tooth pick.
  M4C with no apology.
   
 10. patriq

  patriq Senior Member

  #10
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 17, 2012
  Messages: 143
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Tunamkaribisha lakini do not expect to be a leader at the moment hadi tuwape ubatizo wa maji mengi na mtubu dhambi zenu mkiziungama kwa dhati na kuwa tayari kufanya malipizi. Mtueleze na wenzenu mliowaacha huko dhambini wanadhambi gani nzito nzito ili nao tuwaite kwa kitubio. Tuwatakase kwa mamlaka tulopewa na chama
   
 11. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #11
  Apr 25, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Masanilo hapa imetumika lugha ya picha zaidi "Kigogo ni kipande cha mti" na CCM ni mti unaotegemea kuisha mda si mrefu kwa sababu vigogo vingi vinachomoka
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #12
  Apr 25, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Acheni utoto. Subirini ahame ndio mtujulishe. Kwani lazima uwe wa kwanza kutoa taarifa? Asipohama nitakutukana tusi baya.
   
 13. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #13
  Apr 25, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Ni wakati sasa wa wanachama wote wasafi waliopo ndani ya CCM kuhama chama hicho na kuwaachia wachafu waendelee kukimaliza taratibu.
   
 14. luvcyna

  luvcyna JF-Expert Member

  #14
  Apr 25, 2012
  Joined: Feb 24, 2009
  Messages: 1,441
  Likes Received: 1,034
  Trophy Points: 280
  Rejao nae siku ya Ijumaa aliyopanga kuhamia CDM tutamwita kigogo kwa muda...
   
 15. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #15
  Apr 25, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,134
  Likes Received: 10,485
  Trophy Points: 280
  M4C inafyeka khaaa..
   
 16. Bill

  Bill JF-Expert Member

  #16
  Apr 25, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 4,163
  Likes Received: 1,251
  Trophy Points: 280
  Wapi Shitambala Sambwee, huko alipo nadhani kuna mfaa zaidi.
   
 17. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #17
  Apr 25, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Karibuni tutengeneze safina ya kwenda paradise.
   
 18. M

  Mwanaweja JF-Expert Member

  #18
  Apr 25, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 3,576
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Karibu sana jambo uko njiani isiwe story tunakusubiri kwa hamu katika ukombozi
   
 19. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #19
  Apr 25, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,804
  Likes Received: 1,118
  Trophy Points: 280
  Afadhali ameondoka maana alikuwa mzigo usiobebeka ndani ya chama.
  .
  "WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
   
 20. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #20
  Apr 25, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Anamwachie nafasi ya uongozi Shitambala, maana amesota muda mrefu kwa udanganyifu wa CCM hadi anajutia kutongozwa na chama cha magamba na kuishia kuhadaiwa na akahadaika.
   
Loading...