Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kauri ya mbunge wa Arumeru mashariki imewafanya CCM wafufuke km vile walikua kwenye mapango,kuna kashfa nyingi na tuhuma nyingi zinawakabili mawaziri wao na bunge lilifikia hadi hatua ya kupiga...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
  • Closed
Wakuu, nimeona kwa pamoja tujadiliane juu ya CV na uwepo wa wabunge wa viti maalum wa chadema. chama ambacho ama kwa hakika tunakitegemea sana kama chama mkombozi wetu, japokuwa kwa sasa kina...
1 Reactions
143 Replies
14K Views
Katika gazeti la mwananchi kuna makala iliyozungumzia demokrasia na kubainisha kuwa Demokrasia haina maana kama haiendi sambamba na kuwaletea wananchi maendeleo. Ukiangalia mwenendo wa siasa za...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamii Forum wale wazoefu wa miundo ya Serikali kuu na Serikali za mitaa naomba mnielimishe kidogo. Nini tofauti za Serikali hizo katika muundo na utekelezaji wa kazi zake??
0 Reactions
0 Replies
7K Views
Slogani hii ilitumika juzi kwenye mkutano wa hadhara wa chadema huko Arusha. Lengo kuwakaribisha na "kuwahamasisha" wanachama wapya toka vyama mbalimbali hasa CCM. Napata shida mfumo huu wa...
0 Reactions
0 Replies
808 Views
Ni nambari 40 kwenye orodha ya Wakuu wa Wilaya wapya. Si mwingine ni Festo Kiswaga-Nanyumbu. Alikuwa Rais wa Serikali ya Wanafunzi(UDSM) mwaka 2010. Ndiye muuaji na mzishi wa DARUSO. Sasa Rev...
1 Reactions
49 Replies
12K Views
  • Closed
Arnold Brecht (January 26, 1884 – September 11, 1977) Kwanza kabisa ningependa kuchukua firsa hii ya kumshukuru mwenye forum hii bwana Max na timu yake kwa kutupatia ukumbia mabo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Udom ni janga la taifa,kwa kipindi kirefu tumekuwa tukifuatilia mambo yanavyoendelea chuo kikuu cha Dodoma(udom),kiukweli chuo hiki kimekuwa kikiendesha kibabe,kisiasa na ni chuo pekee Tanzania...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ni jambo la wazi kuwa sasa chadema ni tishio kwa ccm na kinazidi kuungwa mkono.Pamjo na hali hii mnnatakiwa kuwa makini ktk kauli na matendo yenu.Kauli ya Nassari na wenzake inaweza kuwa na makosa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Waandishi wa habari wameshaanza kununuliwa kwa kuanza kuhongwa vyeo na madaraka. Hii wote ni kuweweseka kwa CCM kuvihofia vyombo vya habari vinavyoumbua uovu wa CCM waziwazi. Waandishi wengi...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
leo uk wa mbele kuna Picha ya Mh Jk akifurahi na Zitto. Katika picha hiyo tzdaima lajidai "Marafiki wa kufa na kufaana" Kwanini tzdaima haichapishi picha ya Mh mbowe na JK wakicheka pamoja? Jee...
1 Reactions
139 Replies
15K Views
Hii ifaleta huwajibikaji mzuri kwa Wabunge katika majimbo yao,na Mawaziri katika wizara zao,itasaidia sana kwa wasomi wetu kufanya walichokisomea,badala ya kukimbilia ubunge hili awe waziri.haya...
0 Reactions
1 Replies
949 Views
Wana jfa wenzangu nawasalimu wote. Naomba pia nichukue fursa hii kutoa machache kwa ajili ushauri kwa mh mbowe na secreteriet ktk kukijenga chama. Nianze kwa kukupa pongezi kubwa sn ww na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
more update na picha later makamanda
0 Reactions
34 Replies
6K Views
Imekuwa ni kawaida kwa chama husika harakati za kisiasa kuelekeza kanda moja. Hii hali inakera sana, kila siku mikutano ya CDM ni AR town, au Moshi tu kwa nini? Nyie wanachama na wafuasi mtokao...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakuu wote JF, heshima mbele sana! - Ninashangazwa sana na Wabunge wengi vijana wa CCM kuuogopa huu mtandao wa JF, I mean tena wengi wao wasomi wa ajabu, nimeongea nao sana kwa vipindi mbali...
42 Reactions
336 Replies
18K Views
Hiki chama siku za karibuni kimepamba kurasa za magazeti kwa mvutano wao na jeshi la polisi kiasi ambacho INATUWIA VIGUMU kutengenisha harakati za CDM na jeshi la polisi pamoja na mahakama. Siku...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Leo katika gazeti la majira nimesoma habari inayohusu mh ngeleja kupokewa kifalme huko kwao sengerema!!. Mwandishi wa gazeti ameandika kwamba uongozi wa ccm sengerema umemuandalia maandamano na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kipindi alipopata uhuru alisema atapingana/atapambana na maradhi makuu matatu.Ujinga Umaskini na Maradi.alikuwa sawa kabisa na alikuwa anampango wa kuuendeleza Tz yetu.Je unafikiri mpaka kufikia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nilikuwa nafuatilia mahojiano ya wanaoomba kura za ubunge wa EALA kupitia ITV wiki zilizopita,ikafika zamu ya Mrisho Gambo,mwanasiasa machachari wa arusha,alimudu kuongea lugha ya watu na elimu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom