Katika mjadala uliokuwa ukiendeshwa hivi punde na BBC Kiswahili chini ya Suluma Khasim,Mbunge Deo Filikunjombe amefunguka na kukubali kuwa nchi za Afrika Mashariki kuna ombwe la uongozi...
Nape Nnauye
Kwakuwa ipo nchi ya Sudani na
Sudani Kusini, Je wewe Mtanzania
uko nchi gani, Tanzania au
Tanzania Kaskazini?!! Kataa
Ubaguzi, Kataa Chadema!!
Kwa sasa wimbo ni awamu ya Maige na Ngeleja kuhusu ubadhirifu wa mali ya watanzania. Hivi walioondoshwa last time hakuna aliyehujumu zaidiya Yona na Mramba?
Akina Masha je???? hili ni wazo langu...
Leo,majira ya saa tano asubuhi,nilikuwa viunga vya Wizara ya Ardhi.Nilikuwa kwenye harakati zangu za kikazi kushughulikia wateja wangu.Mara,akajitokeza Dr.Willbrod Peter Slaa,Katibu Mkuu wa...
CCM kupitia kwa Umoja wa Vijana wa CCM Babamoyo (UVCCM) Ilitoa tamko ambalo pamoja na Mambe mengi lilikuwa na Kauli mbili nzito zifuatazo
1. Kamwe Rias 2015 Hatotoka Kaskazini.
2. Anayemjua Rais...
Waandishi Wetu
Toleo la 238
9 May 2012
Wapiga kura wataka wabunge wao wahamie upinzani
Mafisadi nao sasa wataka kukimbilia huko kujiokoa
CHADEMA nao wajipanga kudhibiti uchafu
WAKATI...
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimehakikisha kuwaburuza mahakamani mawaziri ambao wamekumbwa na kashfa za ufisadi iliyotajwa kwenye Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG...
MAELEZO YA KATIBU MKUU
OFISI YA WAZIRI MKUU, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
(OWM-TAMISEMI)
Katika kipindi cha miaka 50 iliyopita, baadhi ya mafanikio yaliyopatikana
ni pamoja na:-...
Wilson Elisha Nkhambaku ameteuliwa na JK kuwa mkuu wa wilaya ya kishapu na jina lake ni la 62 kwenye orodha ya wakuu wa wilaya.Kijana huyu mwenye umri wa miaka 37 alishinda kura za maoni kupitia...
Wadau naona hawa jamaa wa ccm wanajaribu kutubadilishia movie kijanja, tunahitaji na ni lazima tuibane serikali iwakamate mawaziri, makatibu wakuu, wakurugenzi na wote waliohusika kutuibia...
Leo wabunge wa mkoa wa DSM pamoja na mkurugenze mkuu wa NHC watafanya mkutano na wakazi wa Ubungo NHC. Wabunge hoa watataka kujua ujenzi unao endelea hapa ubungo kama umefata taratibu zote za...
Wataalam wa katiba naomba mnijuze
1. Zipi hasa kazi za mkuu wa wilaya?
2. Anatakiwa awe na sifa zipi hasa ku qualify kwa hiyo kazi?
3. Je anakuwa na WORKPLAN ya shuguli zake? Yaani kwa mfano...
Ndugu wana JF naomba mtoe muda wenu kido msikilize huyu Mbunge wa CCM akijibu hoja kwa matusi. Hata kama Chadema nao walitukana, hii sio suluhisho kabisa, ni aibu.
i am very disapointed with...
Kutokana na siasa za msimu za Tanzania; wachambuzi wa mambo sasa wanajiuliza sasa chadema itatoka na singo gani ama agenda ipi baada ya agenda zake kuchuja. Wiki moja iliyopita CDM ilivuma na...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CDM kimekidhoofisha Chama Cha Mapinduzi-CCM wilayani Magu kwa kupukutisha wanachama wake 55 ambao wamejitoa katika chama hicho na kujiunga na CDM.Tukio hilo...
WanaJF,
Kwanza nimesikitishwa sana na uteuzi wa Estelina Kilasi (mbunge wa zamani wa Mbalali) kuwa mkuu wa wilaya mpya ya Wanging'ombe yenye makao yake makuu Igwachanya. Huyu mama alibwagwa vibaya...
I dream of the day of peace and calmness,
The day of prevailing truth and buried lies,
The day of flourishing honesty, perfection and openness,
A day when an innocent lamb survives slaughter...
Tangia Cyril chami awe Mbunge wa Moshi vijijini kwa makusudi ameamua kuligawa jimbo hilo na kushughulika na sehemu ya Milimani ya jimbo hilo na kusahau kabisa ukanda wa chini ikiwamo kata ya...
Wadau kuanzia sasa hamtasikia neno semina elekezi tena maana serikali yetu sikivu imebadilisha jina
Akizungumza na waandishi wakati wa kutajwa majina ya wakuu wa mikoa Pinda alisema,
Tumetoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.