Cv za wabunge viti maalum chadema;- sabrina mrasi sungura . | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Cv za wabunge viti maalum chadema;- sabrina mrasi sungura .

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by TUNTEMEKE, May 6, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #1
  May 6, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Wakuu, nimeona kwa pamoja tujadiliane juu ya CV na uwepo wa wabunge wa viti maalum wa chadema. chama ambacho ama kwa hakika tunakitegemea sana kama chama mkombozi wetu, japokuwa kwa sasa kina wabunge 26 wa viti maalum lakini sijawahi kuuona umuhimu wao pale bungeni kiasi cha kushindwa kuwatofautisha na wabunge wa CCM waliozoea kusema ndio kwa kila kitu.
  naomba leo nianze kuwajadili mmoja mmoja katika jukwaa hili.
  Tuanze na huyu SABRINA MLASI SUNGURA. Mwenye CV yake tafadhali aiweke ili tuanze kuupima uwezo wake na umuhimu wao kwetu mjengoni na sio kuvaa viremba tu.
   
 2. s

  sithole JF-Expert Member

  #2
  May 6, 2012
  Joined: Mar 13, 2012
  Messages: 304
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Mkuu anza na kuweka cv ya Profesa maji marefu kwanza!why unataka cv ya specific person?utakua umetumwa wewe!tumekustukia.
   
 3. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #3
  May 6, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Naona hauna hela ya kula kwa leo, omba tukusaidie kwa M-PESA!
   
 4. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #4
  May 6, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Inocensia,
  Ukimtongoza mwanamke akakukataa kubali maana ni sehemu ya maisha ya Mwanaume. Sasa hii tabia ya kukasirika then unakurupukia kwenye mitandao ili umkomoe haitakusaidia. Wanawake wapo wengi. Kama hujui wanapopatikana niPM nikuelekeze

  TUMBIRI wa JF
   
 5. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #5
  May 6, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Namfahamu vizuri sana huyo binti.
  jina lake sahihi nio MRASI na hilo sabrina alianza kulitumia baada ya kufeli darasa la saba.
  alisomeshwa na AIDAN NDOLWA kinondoni MUSLIM na baadae zanzibar university.
  alianza uhusiano wa kimapenzi na ANTHONY KOMU mkurugenzi wa fedha wa CHADEMA mwaka 2008 mpaka sasa.
  Mwaka 2010 alizawadiwa UBUNGE wa viti maalum
   
 6. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #6
  May 6, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  wala siihitaji kuijua CV ya profesa maji marefu sababu kwangu mimi kuwa tu mwana CCM ni zaidi ya janga la kitaifa.
  nataka kujua kama CV yake inafanana na ya MAJIMAREFU?.
   
 7. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #7
  May 6, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Naona umeingia vibaya.
  nataka kujua ni kipi kilizingatiwa mpaka tukawa na aina ya wabunge kama wa huyu binti SUNGURA?. nataka kujua tu ni kwanini mpaka sasa pale bungeni dodoma ni wabunge wale wale wa bunge la tisa wa chadema yetu ukiondoa kamanda mbowe, lisu na mnyika ndio wanaochangia kikamilifu.
   
 8. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #8
  May 6, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  mkuu,
  mimi mwenyewe ni mwanamke. nimtongoze mwanamke mwenzangu ili iweje?. mimi siuwezi u CAMEROUN bwana...sungura yeye ni miongoni mwa wabunge wa viti maalum kwenye chama chetu ambao ni mzigo wa miba.
   
 9. A

  Aswel Senior Member

  #9
  May 6, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 114
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  CV za wabunge wengi wa viti maalum huwa sio nzuri.
   
 10. S

  Sultani kambe Member

  #10
  May 6, 2012
  Joined: Apr 26, 2012
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kimeta ww
   
 11. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #11
  May 6, 2012
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  Kwa nini iwe Sabrina Sungura.Let us stop gossip
   
 12. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #12
  May 6, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Mimi ninamfahamu sana huyo binti.
  baba ake mzazi ni mzee maarufu sana kigoma amewahi kuwa MEYA wa MANISPAA YA MJI WA KIGOMA na kwasasa yeye ndiye mwenyekiti wa kamati ya wazee wa CCM anawakilisha wazee wa mji wa kigoma katika VIKAO VYA RCC mkoa wa kigoma.
  Mama yake pia ni KADA MTIIFU WA CC na amewahi kugombea uenyekiti wa wilaya wa CCM kigoma mjini akishindana na mfanya biashara maarufu wa eneo la KIBIRIZI pale kigoma japokuwa wote walimwagwa na NASHON BIDYANGUZE mtu ambaye aliyemuiba diwani wa CHADEMA kwa kutafuta UMEYA.
  Nilishtuka sana niliposikia kuwa kawa mbunge, nikasema kama huyu naye mbunge basi hata mazezeta wa mirembe wanaweza kuwawabunge, manake mpaka ana maliza chuo kikuu pale kigoma anahesabiwa kama msichana aliyepoteza uelekeo wa kimaisha.

  ......NITAENDELEA PUNDE...
   
 13. Kitoabu

  Kitoabu JF-Expert Member

  #13
  May 6, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 5,765
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  binti anahoja jamani. Mimi mwenyewe sijawahi kumsikia. Hii itatusaidia baadae wakat wa kura za maoni ili kuteua wagombea ubunge sio tuteue ilimradi tu. Pia itamsaidia yeye mwenyewe na wengineo kujirekebisha sio kukaa na kupiga makofi tu. Mbona halima ana fight sana bungen wakat watu kama kina sungura wamekaa tu. Tubadilike sio kila mtu anaetoa hoja kukosoa mwanachadema ni fisadi
   
 14. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #14
  May 6, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  BEN;
  ungejua!.
  SABRINA NI MWANZO TU. hii ni operesheni tetea maslahi ya uuma. tukimalizana na huyu binti tutaingia kwa MUHONGA, OWENYA, MASHISHANGA, MTURANO, REBECCA na wengine wote.
  haujui kwamba wabunge wa viti maalum posho na mishahara yao vinatosha kokomesha UKIMWI TANZANIA.
  kwa hiyo hatupaswi kuwa na wabunge wa chama makini kama CHADEMA wanaofanana na akili za wabunge wa CCM za kufunga VIREMBA TU na kuvaa mikufu miguuni.
  hapa ni KAAZI TU.
  VUA GAMBA VAA GWANDA.
   
 15. s

  slufay JF-Expert Member

  #15
  May 6, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,372
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hilo ni pigo kwa GENDER kwa na nashawishika kuwa wanawake wanataka usawa lakini wao wenyeeewe hawapendani ....... Je komu alikuwa mumeo ....... Nonsense kabisa ..... unasema alikuwa amefeli darasa la saba ...... Zanzibar University kaenda kusoma ....... Jina siyo isssue ..... Muulize Dr. Kingwangwala Hamisi atakufafanulia vizuri..... kama hajaenda shule hiyo issue nyingine ..... issue ya jina waweza kwenda kula kiapo Mahakamani (John kwenda Said.. Buzz kwenda tigo,,,, celtel kwenda zain to Airtel
   
 16. F

  FJM JF-Expert Member

  #16
  May 6, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  CHADEMA walitengeza formula ya kupata wabunge wa viti maalum. Na wahusika wakuu walikuwa Prof Beregu, Dr Kitila Mkumbo. Wapo baadhi ya wabunge wa CHADEMA ambao si waongeaji sana (kwa kusimama bungeni) lakini kwenye wazuri kwa kutoa michango kwenye mikakati na utekelazaji. Mmojawapo ni Mchungaji Natse.
   
 17. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #17
  May 6, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  upo sahihi sana speedy.
  hata kamanda mbowe ameambiwa ARUSHA kuwa KATIKA MSAFARA WA MAMBA NA KENGE PIA WAMO.
  SABRINA ndi aina ya hao waliotajwa ambao wanunua nyumba kisha kwa pesa za chama kisha wanakipangisha chama kilichompatia huo ubunge. Tusipokiongelea hiki kiini macho kesho na keshokutwa tutasutwa na wajukuu zetu.
   
 18. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #18
  May 6, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  hahahahahahahahahaha..KOMU?. aah.
   
 19. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #19
  May 6, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Formula za CHADEMA hazina uhusiano na udhaifu wa hawa wabunge wa type ya sabrina sungura.
   
 20. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #20
  May 6, 2012
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280

  Please usinihusishe kwenye huu udaku wako.....

  This question needs an urgent answer. Rumour mongers seems to be highly paid and recognized than the ordinary guys who work hard to earn a living- why is this so?
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...