ukuu wa wilaya wa Novatus Makunga na hila ya JK kuwaziba mdomo waandishi wa habari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ukuu wa wilaya wa Novatus Makunga na hila ya JK kuwaziba mdomo waandishi wa habari

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by opportunist2012, May 10, 2012.

 1. o

  opportunist2012 Member

  #1
  May 10, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Waandishi wa habari wameshaanza kununuliwa kwa kuanza kuhongwa vyeo na madaraka. Hii wote ni kuweweseka kwa CCM kuvihofia vyombo vya habari vinavyoumbua uovu wa CCM waziwazi. Waandishi wengi watapunguza ufanisi wao wa kuandika habari kwa kuacha kuelezea waziwazi madudu ya serikali wakitarajia vyeo kama Novatus Makunga.
   
 2. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #2
  May 10, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,150
  Likes Received: 2,111
  Trophy Points: 280
  Na mhigo rweyemam, uchambuzi wake ndo kwisha kazi kwenye gazeti la raia mwema
   
 3. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #3
  May 10, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  ... wengi tumeliona hili lakini jambo liko wazi kwamba mabadiliko ya hivi sasa nchini ni zaidi ya gharika la tsunami hivyo MAFISADI WA VYEO KATIKA MFUMO FISADI huko CCM kamwe hawawezi kuzuia kitu ndani ya hii miaka 3 iliobakia chama hiki kupumzishwa rasmi nchini.
   
 4. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #4
  May 10, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Jk ameanza kuogopa 2015 anachomoa mmoja mmoja!, kazi unayo mheshimiwa mpaka 2015 tutaona mengi!
   
 5. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #5
  May 10, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Makunga pamoja na uandishi/utangazaji, kilichomsaidia zaidi ni nepotism, yaani kuwa M,KWERE! Vinginevyo utangazaji wa Makunga haukuwa na madhara yoyote kwa JK! thats my take!
   
 6. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #6
  May 10, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  RAIS KIKWETE APANDA UPYA UFISADI MFUMO NDANI YA CCM KWA KUHONGA VYEO VIONGOZI WA ZAMANI WA SERIKALI ZA WANAFUNZI KATIKA VYUO MBALIMBALI NCHINI NA KUKIRIMU ZAIDI NDUGU, JAMAA NA WATOTO WA WAKUBWA BILA USHINDANI

  Daaah, sumu inayoangamiza taifa letu hii hapa kwa wino mwekundu uliokolea sana hapo chini. Kupeana vyeo kiundugu undugu, watoto wa wakubwa kibao kwenye U-DC lakini kodi za kuwatunza nazo tulipe sote ... HOW COME kwa gharama ya walipakodi kutoka vyama vyote nchini?

  Huko tuendako vyeo vya ofisi za umma kama vile ukuu wa mkoa, wilaya, kata na huko ubalozini zitakua ni NAFASI ZA KUSHINDANIWA na watu kufanyiwa usaili ki-uwazi zaidi na wala si vyeo vya kupeana hadi kwa vilaza hivi.

   
 7. FortJeasus

  FortJeasus JF-Expert Member

  #7
  May 10, 2012
  Joined: Jan 19, 2012
  Messages: 568
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  Mkuu,nimekuwa ninasoma gazeti la Raia Mwema tangu lianze kuingia mitaani mwaka 2007.Sijawahi kukosa nakala ya gazeti hilo hata wiki moja.
  Nataka kukufahamisha,kwa uhakika kabisa,kuwa, huyo jamaa hajawahi kuandika makala yoyote katika gazeti hilo hata mara moja.
  Mtu yeyote anaweza kufuatilia akitaka kujua ukweli.
   
 8. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #8
  May 10, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,971
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  PJ uko sawa kabisa. Huyu Novatus kweny vituo vya kupigia kura kule Arumeru siku ya matokeo ya ubunge akikuta kituo ambacho CDM imeshinda alikuwa hatoi ripoti mpaka akute kituo ambacho magamba wameshinda.
  Ni CCM damu
   
 9. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #9
  May 10, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Haya sasa, U-kuu wa Wilaya kwa njia ya undugu na rushwa ya vyeo kamwe hauwezi kuzaa maendeleo kwa umma wa Tanzania bali mambo yote ni kilio kinachotusubiri kwa kasi mpya, nguvu mpya na ari mpya kuliko jinsi tunavyoumia hivi sasa kote nchini.

   
 10. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #10
  May 10, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  njoo njiro ule ktmoto una akili nyingi Pinyeee
   
 11. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #11
  May 10, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Tena huyu si alikuwa katibu mweneze wa CCM pale arusha?
   
 12. S

  SJUMAA26 JF-Expert Member

  #12
  May 10, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 611
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  No, huyo ni Katibu Mwenezi wa Magamba mpaka kesho!
   
 13. A

  Aaron JF-Expert Member

  #13
  May 10, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 2,131
  Likes Received: 2,721
  Trophy Points: 280
  makunga sioni madhara aliyokuwa nayo kwa ccm kwani yeye alikuwa akiandika sana habari za mazingira...


  nikiripoti kutoka bwawa la kihansi,kidatu,nyumba ya mungu, mtera.. mimi ni novatus makunga wa ITV
   
 14. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #14
  May 10, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  mkuu FORTJESUS nlikuwa nimjibu hiviivi..gamba muhingo na Raia mwema ni vitu viwili tofauti labda RAI
   
 15. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #15
  May 10, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  hakuwa na madhara bt habari za mazingira ni RENATUS MSUNGU.makunga yeye toka kombe aondoke arusha..kakosa story za vifo vya majambazi
   
Loading...