Kamanda mbowe,nassari,lema,heche na mama kaboyoka ndani ya same..

Mama kilango ajibu barabara ya mkomazi - same anajenga lini? Aache kulala kila siku yuko marekani kufuata malighafi za kiwanda cha tangawizi
 
Strategic ya M4C imetulia vizuri,iwahishe kanda ya kusini,pwani ili baadae wingu lifunike nchi nzima!
 
Kijiji cha mwembe wanawasubiri tena leo ingekuwa poa maana kuna soko linalounganisha vijiji vyote km vudee, makanya , vwasu mbaga mhezi nk.
 
more update na picha later makamanda
Mimi sikatai huu mchakato wao,lakini wanafanya research kujua ufanisi wa maeneo waliyoshinda 201o katika nafasi zoote ie ubunge na udiwani?nimesikia diawni wake mmoja wa kata ya ugombolwa tabata chang'ombe amekosa ushirikiano kabisa kutoka halmashauri ya manispaa ya ilala,hata wenyeviti wa serikali za mitaa wanafunga ofisi wakimuona akiwatembelea,waangalie na maeneo mengine bwana 2015 sio mbali kabisa!
 
Nadhani jambo la muhimu kwa huyo diwani ni kuwasiliana na wananchi wake. Aige mfano wa JJ Mnyika, kila wanapokwamisha ajenda zake anawaambia wapiga kura wake.
 
Waamsheni hao wapare
kwani wanatuangusha
sana tofauti na wachaga!
Wangekuwa wameamka
hata jk angekosa waziri huko kwa wapara kama alivyokosa kule upande wa wachaga matokeo yake kamteua Agrey mwanri pekee.
 
Back
Top Bottom